Home Search Countries Albums

Simba Marara

QUAFFF

Simba Marara Lyrics


(The tragic studio
Quafff just landed)
Tragic! Tragic! Tragic! Huh!
The quafff!

Kutoka kwa den guess what si ni king wa gang
Ndio nimeanza na nambli ashaa-complain
For me issa double hunt ni lazima nishibe mzee niite simba marara
Simba marara kutoka kwa den guess what si ni king wa gang
Ndio nimeanza na nambli ashaa-complain
For me issa double hunt ni lazima nishibe mzee niite simba marara
Simba marara marara marara

First of all, mi ndio nimetop food chain ofcourse
Without any further ado washaajua mi ndo their king and boss
You better look both ways ka unafikiria kuni-cross
But on caution mih si zebra so avoid
Cheki am trying to make a move
And your prey is loose> den ya kwenyu mi ni
Bad news mabitch wenyu huni-woo bila crown bado narule
Kwanza ata bila crew unaniona stage unaanza shuu
Bro am not a cat you fool
Wanauliza nmepotea sana nmekuwa undercover
Info's very fragile bana siezi gawa
Ni lazima ukuwe carnivorous ndio uingie kwa chama
Simba amefika mjini cheki kutoka kwa den guess what si ni king wa gang
Ndio nimeanza na nambli ashaa-complain
For me issa double hunt ni lazima
Nishibe mzee niite simba marara
Simba marara kutoka kwa den guess what si ni king wa gang
Ndio nimeanza na nambli ashaa-complain
For me issa double hunt ni lazima nishibe mzee niite simba marara
Simba marara marara marara

Siezi roll na the big 5 naeza manage alone

Am big cat now welcome to the real life

Ka huezi roar utapigwa ma-missile over elected junior-senior sooner
Iq over 90 kahuna, on this tune am loonier
African catman so superior
Wamekuwa wakinitreat kama paka little

They had known ntakuwa their hunter nikiwapata nanguruma on purpose

Full respect ndio naexpect hapa
Usijione sungura mjanja unataka kunitame utatoka hapa fasta
Nararua hizi mistari mi mnyama imebaki kidogo waniite onyancha
Wanauliza nmepotea sana nmekuwa undercover
Info's very fragile bana siezi gawa
Ni lazima ukuwe carnivorous ndio uingie kwa chama
Simba amefika mjini cheki kutoka kwa den guess what si ni king wa gang
Ndio nimeanza na nambli ashaa-complain
For me issa double hunt ni lazima
Nishibe mzee niite simba marara
Simba marara marara marara

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Simba Marara (Single)


Added By : The Quafff

SEE ALSO

AUTHOR

QUAFFF

Kenya

James Milo Ongige, born 4 September 2003 popularly known by his stage name Quafff, is a young Kenyan ...

YOU MAY ALSO LIKE