Kujinice Lyrics
Psycho, ebu jinice
Wapi lighter
Kujinice sisi tuna jinice
Kujinice sisi tuna jinice
Kujinice sisi tuna jinice
Dance to the beat kama doba imekunyc
Kujinice sisi tuna jinice
Kujinice sisi tuna jinice
Kujinice sisi tuna jinice
Dance to the beat kama doba imekunyc
Leo ni siku yetu tunakata mpaka che
Ita kina Wambo na Abdia mpaka Nje
Mrembo rombosa na usichoke
Nahitaji hiyo morale ndo mi niwaroge
Mabeshte kwa club, Jose shika pombe
Manze siku hizi jo mi hukunywa Delmonte
Na ka Willy wa Getho manzi shika dem kibombe
Mrushie mistari ndo asiboeke
Make sure asubuhi umeenda na yeye
Si unajua huku ni Ghetto kumejaa ma mwewe
Ukikunywa na mabuda chunga usilewe
Second ana studio hatakangi kelele
Kujinice sisi tuna jinice
Kujinice sisi tuna jinice
Kujinice sisi tuna jinice
Dance to the beat kama doba imekunyc
Kujinice sisi tuna jinice
Kujinice sisi tuna jinice
Kujinice sisi tuna jinice
Dance to the beat kama doba imekunyc
Nina jinice, kwenye malight
Kidogo tu nacheki msupa amewahi
Danny Ndwati mimi nani nikatry
Kumkuta na kumchapia vi-wise
Hizo eyes nikicheki nazirai
Kusema kweli mbby umeninice
Kwanza uki whine
Unazungusha nabaki madesign
Sexy gal, tunaeza dai
Together we can even spend the whole time
Then walai, sema kulegalize
Tufeeel high zetu zitunice
Kujinice sisi tuna jinice
Kujinice sisi tuna jinice
Kujinice sisi tuna jinice
Dance to the beat kama doba imekunyc
Kujinice sisi tuna jinice
Kujinice sisi tuna jinice
Kujinice sisi tuna jinice
Dance to the beat kama doba imekunyc
Hufiki, chini nimedunga tu matiki
Shore akikam naye apigwe miti kwa kiti
Mi kuzitema niko fiti
Najinice hadi mi nafika kwenye titi
Niko handas na mamiti
Mashore wamekam kujiparty
Wote hawajadunga tu mapanty
Shika mmoja bora asiwe fatty
Mafisi wako hunting
Kwani, chunga usijpate katikati
Phsycho ikikam wapewe kiti
Wale wa mdomo wapewe beating
Mashore leo rada wanaingizwa tu mitini
Ati hapa rada ni mcheze kama nyinyi
Kujinice sisi tuna jinice
Kujinice sisi tuna jinice
Kujinice sisi tuna jinice
Dance to the beat kama doba imekunyc
Kujinice sisi tuna jinice
Kujinice sisi tuna jinice
Kujinice sisi tuna jinice
Dance to the beat kama doba imekunyc
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Kujinice (Single)
Copyright : (c) 2019 Psycho.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
PSYCHO
Kenya
PYSCHO is a Kenyan group made up of Joseph Hill, Kinta, Iano MaBling and Ndu@ti . ...
YOU MAY ALSO LIKE