Home Search Countries Albums

Wapi na Nani

WAKADINALI

Wapi na Nani Lyrics


Woah! Woah! 
Wooah! Woah! Ah

Wapi na nani? 
Wapi nani? Wapi na nani? 
Ngoja niwalole, pinji ni redroth 
Msee ana gotha, ni ombre
Ukimuok na heda ni dibla
Sisi kuslay si ka kina Zari
Continue show msee alituzidi
Wapi na nani? 

Wapi na nani? 
Wapi nani? Wapi na nani? 
Ngoja niwalole, pinji ni redroth 
Msee ana gotha, ni ombre
Ukimuok na heda ni dibla
Sisi kuslay si ka kina Zari
Continue show msee alituzidi
Wapi na nani? 

Hebu kuja kuja kuja, huku kamenuka
Ka-Ka-Ka! Ndeng'a msee inatiririka
Si ni wa kukuja tuko nyuma
Huku kwetu mtaro imefura
Liquor, nimefanya imeisha full half litre

Tangu niwe mless mi ni mtukutu
Gyaldem anajua Kim Jang Dosh- mi ni mtukutu
Sare porojo, bad news, this is the cookbook
Siezi pull up na kisu mi ni mtu tu-tu-tu
Mbuku ni ijazwe mistari zii hi hi hi
Chill booth hunukanga, mi ni mleak ill ill

Tafuta diro na mngola huwezi rudi tena umezeshee
Mbleina namtoka, usiwai bonga sana kasheshe
Ngati ngati ngati ngati ngati ngati msee
This is a wake up call welcome to my channel

Who am I? 
Cheki skele wa mine
Dinga vanilla interior
Mbele na nyuma ni white

Wapi na nani? 
Wapi nani! Wapi na nani? 
Ngoja niwalole, pinji ni redroth 
Msee ana gotha, ni ombre
Ukimuok na heda ni dibla
Sisi kuslay si ka kina Zari
Continue show msee alituzidi, wapi na nani? 

Wapi na nani? 
Wapi nani? Wapi na nani? 
Ngoja niwalole, pinji ni redroth 
Msee ana gotha, ni ombre
Ukimuok na heda ni dibla
Sisi kuslay si ka kina Zari
Continue show msee alituzidi
Wapi na nani? 

Majengo naitwanga Mukhtar
I'm the headman napita na vichwa
Huwezi nikunja, huwezi nibend
Mpesa na ngithe nadunga weekend
Niko manyaru niko machwadi kila subaru
Nadhani ni mambaru
Befo wa leo ni momo, na
Shika kundule tatu za njui

Rezi alinyuria na nyoi woi woi woi
Sogi aliteveva na ndeng'a ni mboi
Mokoro analianga woi, jirani ana roho chafu
Ai woshe! Ulikula mav' na snail shit shit

Wapi na nani? 
Wapi nani? Wapi na nani? 
Ngoja niwalole, pinji ni redroth 
Msee ana gotha, ni ombre
Ukimuok na heda ni dibla
Sisi kuslay si ka kina Zari
Continue show msee alituzidi
Wapi na nani? 

Wapi na nani? 
Wapi nani? Wapi na nani? 
Ngoja niwalole, pinji ni redroth 
Msee ana gotha, ni ombre
Ukimuok na heda ni dibla
Sisi kuslay si ka kina Zari
Continue show msee alituzidi
Wapi na nani? 

[Sewersydaa]
Hatuongei juu ya kukang'a ka hatujaifanya
Tutakwachia scar kwa face tuanze kuita Tony Montana
Utapigia mkanya na asiposhika unaeza ita Hosanna
Bei imepanda lakini, hatuwezi kosana

Niko na mzabra mi-huita mzaba kila idhaa anapurura
Naskia mi hurap uhuni
Eeh, juu hakuna kitu ingine najua
Mta-sue kampuni ama tuingie streets, bado mnabuya
Nilisuka Ruby akaingia key, nikaitundura

Si hukuwa wild achana na willis ye bado ni wa kukuja
Dry dry no chaser Henny kwa meza hivo ndio si hukunywa
Look inaunguza, kiatu ya duka, huku mtumba si ndio hudunga
Agent hudungwa wakamiss bunda, Hessy akawakuta

Si huchoma mpaka ituchome vidole
Boza inageuzwa nyongi we na hiyo slim inabaki ukuwe mpole
Roda inaingizwa na key na Rhoda anaingizwa ndole
Ukibonga hatukuskii before tutoke scene si huwacha sorted

Wapi na nani? 
Wapi nani? Wapi na nani? 
Ngoja niwalole, pinji ni redroth 
Msee ana gotha, ni ombre
Ukimuok na heda ni dibla
Sisi kuslay si ka kina Zari
Continue show msee alituzidi
Wapi na nani? 

Wapi na nani? 
Wapi nani? Wapi na nani? 
Ngoja niwalole, pinji ni redroth 
Msee ana gotha, ni ombre
Ukimuok na heda ni dibla
Sisi kuslay si ka kina Zari
Continue show msee alituzidi
Wapi na nani? 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Victims of Madness (Album)


Copyright : (c) Rong Rende/ Zoza Nation


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

WAKADINALI

Kenya

Wakadinali is a Hiphop Rap Group from Kenya Eastlands. Wakadinali members include; Scar Mkadina ...

YOU MAY ALSO LIKE