Salama Lyrics
Jua la saa saba
Limewaka sana
Linavyo nichoma
Ndivyo nakazana
Juu siwezi lala njaa
Nikitazama
Ninaondoka
Nirudishe salama
Siwezi lala njaa
Nikitazama
Ninaondoka
Nirudishe salama
Giza la saa moja
Limenipata kwa shamba
Ninaogopa
Polisi na wakora
Siwezi lala njaa
Nikitazama
Ninaondoka
Nirudishe salama
Siwezi lala njaa
Nikitazama
Ninaondoka
Nirudishe salama
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Qwarantunes (EP)
Copyright : (c) 2020 Sol Generation.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
BENSOUL
Kenya
Bensoul (real name Benson Mutua Muia born 4 March 1996) is a soulful singer-songwrit ...
YOU MAY ALSO LIKE