Home Search Countries Albums

Magoma

ONE SIX

Read en Translation

Magoma Lyrics


Katoto kuvaa kanga
Hakuna kulala tunatoka tonight
Kiuno ni vaa shanga 
Acha masihara baby woke up oh my

See the beauty feel like coco
Vilivyo mzuri pamaika
Kama ni mbingu malaika 
Unanipa kiburi mama pro

Murder murder 
Bartender unapenda rada
Good father, with brother
Unanibamba haina kuwala

My baby gotta wake 
Wake wake wake, wake up wake uo 
My baby gotta wake 
Wake wake wake, wake up wake up

My baby gotta ota, tuote
My baby gotta ota, tuote
My baby gotta ota, tuote
My baby gotta ota, tuote

Tukabuge mabuma mama
Vile unapenda cheza inaniuma sana
Napenda ukianza kubuga mama
Kabla ya kwenda kula tubonge nyama

Tukabuge mabuma mama
Vile unapenda cheza inaniuma sana
Napenda ukianza kubuga mama
Kabla ya kwenda kula tubonge nyama

Maya Maya, maya maya
Upo kama Maya Maya Maya Maya
Maya maya maya ma

Eti umeniroga 
Wanasema kwamba umeniroga mama
Eti umeniroga 
Wanasema kwako nimerogwa sana

Agiza moja mbili we agiza ah
Tafuta mizuka ya kuanza kucheza ah
Tujimwage tupambe
Life is too short tutambe mama

Tabibu, karibu
Dance to the left to the right yoh
Mikono juu ni miuno tu
Up till 6 in the morning

Au mechi kali mikali nikomeshe
Miuno funny hatari, hatari nionjeshe
Mi nisali kwa wali ugali nitonge nyama
Mistari ming'ari beat kagonga drama 

Ota, tuote
My baby gotta ota, tuote
Ota, tuote
My baby gotta ota, tuote

Ota, tuote
My baby gotta ota, tuote
Ota, tuote
My baby gotta ota, tuote

Tukabuge mabuma mama
Vile unapenda cheza inaniuma sana
Napenda ukianza kubuga mama
Kabla ya kwenda kula tubonge nyama

Tukabuge mabuma mama
Vile unapenda cheza inaniuma sana
Napenda ukianza kubuga mama
Kabla ya kwenda kula tubonge nyama

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Magoma (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

ONE SIX

Tanzania

One Six aka, 'The Vocalist Of Africa' is an artist from Tanzania. One Six was featured ...

YOU MAY ALSO LIKE