Nimesamehewa Lyrics
Adui naye anakazana
Kunifanya nisisogee
Auharibu moyo wangu wa ibada
Uwe harufu mbaya kwa bwana
Kajenga kiburi ndani yangu
Kajaza uchafu ndani yangu
Katega kaburi mbele yangu
Ili nianguke bila kuona
Kwanza alinikosesha
Kisha akafanya mashtaka
Nionekane kuwa na makosa
Kumbe nilishasamehewa
Kumbe nilishasamehewa
Adui yangu nikwambie
Mungu anasemehe na kusahau
Unachoshtaki yeye hakijui
Unachoshtaki yeye hakumbuki
Unachoshtaki yeye hakumbuki
Nimesamehewa, nimelipiwa deni
Mimi si mtumwa tena, mimi si mtumwa tena
Nimesamehewa, nimelipiwa deni
Mimi si mtumwa tena, mimi si mtumwa tena
Nimesamehewa
Nimelipiwa deni
Mimi si mtumwa tena
Mimi si mtumwa tena
Nimesamehewa
Kwa damu ya Yesu
Nimekombolewa
Kwa damu ya Yesu
Lile deni nalodaiwa halipo tena yeah
Lile deni nalodaiwa halipo tena
Lile deni nalodaiwa halipo tena
Ile hati ya mashtaka, haipo tena
Nimesamehewa
Kwa damu ya Yesu
Nimekombolewa
Kwa damu ya Yesu
Ndio, nimesamehewa
Kwa damu ya Yesu
Kweli, nimekombolewa
Kwa damu ya Yesu
Ndio, mimi si mtumwa tena
Kwa damu ya Yesu
Am forgiven by the blood, kweli
Am forgiven by the blood, kwa damu ya Yesu
Ndio, nimesamehewa
Kwa damu ya Yesu
Lile deni nalodaiwa halipo tena
Ile hati ya mashtaka haipo tena
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Nimesamehewa (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE