My Gash Lyrics
Uuuuh....yeah
Aiyayayayaya
Iye iye aah mmmh
(Abbah)
Asa mbona na simu umepokea
Jina lile lile la jana
We si ulisema umeacha
Umeacha visa
Hasa mbona nyie bado mnaongea
Mnaendekeza mjana
We si ulisema umeacha
Umeacha visa
Si jana nilikuona mchana
Sitaki kuendelea naye
Na tena nimemwambia
Baba karudi kuwa naye
Ooooh hata kwangu niliachana
Yaishe mazoea naye
Na tena nimemwambia
Mama karudi kwa wanawe
Naapa sifanyi tena vibaya
Nisije kuumiza
Nishajua una moyo sio jiwe
Na sitaki kukuliza
Yaani hapa ukinifanya vibaya
Utaniumiza
Ujue nina moyo sio jiwe
Ukanitenda tena
Aaah oh my gash utaniua
Oh my gash utanitoa roho
Oh my gash utaniua
Oh my gash utanitoa roho
Nia ya mi si mikunjo kubebwa bebwa
Na hakuna kuniweza u mbali wewe
Kama chatu na ndeza
Nilimiss vile unavyodeka deka
Na kwa bed unavyocheza
Ooh yeah ni wewe
Kama papa umenimeza
Basi punguza mitoko (Mitoko)
Mi mtoto (Mtoto)
Kwako mi ndo ndoto (ndoto)
Nahitaji matunzo
Nishapunguza mitoko (Mitoko)
We mtoto (Mtoto)
Ah we ndoto ( wa ndoto)
Unahitaji matunzo
Naapa sifanyi tena vibaya
Nisije kuumiza
Nishajua una moyo sio jiwe
Na sitaki kukuliza
Yaani hapa ukinifanya vibaya
Utaniumiza
Ujue nina moyo sio jiwe
Ukanitenda tena
Aaah oh my gash utaniua
Oh my gash utanitoa roho
Oh my gash utaniua
Oh my gash utanitoa roho
Oh my gash, oh my yeah
Oh my gash utaniua we
Oh my gash utanitoa roho
Oh my gash utaniua
Oh my gash utanitoa roho
Baba utanitoa roho
Aah wewe utaniua
Baba utanitoa roho
(The Mix Killer)
Abbah!
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : The Evolution (Album)
Copyright : (c) 2021 Abbah Music.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
ABBAH
Tanzania
Abbah Process real name Sweetbert Charles Mwinula is aka the 'Beat Monster' is a music ...
YOU MAY ALSO LIKE