Home Search Countries Albums
Read en Translation

Shika Lyrics

Uliponiita mpenzi nilewe
Sikusubiri hata saa
Sikuja kwako nisichelewe
We kipenzi changu mama

Mi najua una maswali
Ju ya yangu hali
Je nitaweza kukutunza

Na maisha ya kifari
Je nina mali?
Ya kuweza kukukuza

My baby you are the light of my day
And baby you are the sun of my heart

Nataka kukushika, shika shika shika yeah 
Nataka kukushika, shika shika shika yeah 
Nataka kukushika, shika shika shika yeah 
Nataka kukushika, shika shika shika yeah 

Yangu moja namba ni wewe 
Na ndio maana nimejituliza
Sema utonata mwenyewe
Ili nisintokukuumiza

Waache waseme yote kuhusu mimi
Mi kubaki nawe yawakera nini
We ni wangu pekee tokea zamani
Nah nah nah nah 

My baby you are the light of my day
And baby you are the sun of my heart

Nataka kukushika, shika shika shika yeah 
Nataka kukushika, shika shika shika yeah 
Nataka kukushika, shika shika shika yeah 
Nataka kukushika, shika shika shika yeah 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2020

Album : Your Love (Single)

Copyright : (c) 2020 Makini Records.

Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

OTUCK WILLIAM

Tanzania

Otuck William is an artist from Tanzania signed under Makini Records by Joe Makini ...

YOU MAY ALSO LIKE