Nazama Lyrics

Mmmh once again
Mmmh naitwa once again
Onaah nananaaah
Mapenzi ya usiku
Sio kama ya mchana
Usiku kigiza flani
Mchana tunaonana
Halafu kipaji anhaa
Amempa maulana
Ananionesha michezo ambayo sijawahi ona
Kwisha kabisa
Mwenzenu ananimaliza
Huu ufundi kapatia wapi
Mbona anapitiliza
Kwisha kabisa
jamani Anamiujiza
Penzi kalichomea ubani
Utamu tu ananipa
Mwenzenu nazama
Mi sijui nifanyeje
Sjui mimi
Sijui nimekuaje
Sijui mimi
Nimekua kama bwegee
Mwenzenu
Naenjoy mwenyewe olaah
Hivi kwanini ukiitwa honey
Unasikia raha mpaka ndani oh
Hadi unatamani uiskie milele maishani
Namaanisha sio utani
Huu upendo umenipa amani
Wengine wanafika mbali
Eti mapenzi majani
Kwisha kabisa
Mwenzenu ananimaliza
Huu ufundi kapatia wapi
Mbona anapitiliza
Kwisha kabisa
jamani Anamiujiza
Penzi kalichomea ubani
Utamu tu ananipa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2025
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
JAY MELODY
Tanzania
Jay Melody is the young talented afrikan boy raised in the slams of Tandale kwa Mtogole he ...
YOU MAY ALSO LIKE