Jeraha Lyrics

(Vicky pon this)
Kunguru ata kalishwa
Nyumbani ato kaa
Katili huna nafsi huna huruma
Ata kwa ushahidi macho nilifumba
Sikutaka kuamini niliogopa itaniuma
Kwamba msaliti wewe
Kwa tamaa za muda mfupi
Penzi bahari umelitosa
Kawekeza muda mwingi
Kumbe bure najichosha
Iweje wewe tuliojenga kwa juhudi
Umebomoa
Zile ndoto na mipango
Ya kufunga ndoa
Jeraha subiri lipone
Bado naliuguza
Jeraha uchungu natamani ukome
Nipe likizo mwenzio
Jeraha subiri lipone
Bado naliuguza
Jeraha uchungu natamani ukome
Nipe likizo mwenzio
Wajua wakati mwengine najiuliza
Au pengine haya mapenzi yana mwenyewe
Ama pengine mimi ndio sina bahati
Au pengine tu wangu dio hajazaliwa
Maana kila ninapojitweka imani
Kila ninapoanza safari ya mapenzi
Meli inapongoa nanga tu inageuka ferry mtongwe
Damn siamini
After all we've been through
How do you sacrifice so much for so little
Kwamba msaliti wewe
Kwa tamaa za muda mfupi
Penzi bahari umelitosa
Kawekeza muda mwingi
Kumbe bure najichosha
Iweje wewe tuliojenga kwa juhudi
Umebomoa
Zile ndoto na mipango
Ya kufunga ndoa
Jeraha subiri lipone
Bado naliuguza
Jeraha uchungu natamani ukome
Nipe likizo mwenzio
Jeraha subiri lipone
Bado naliuguza
Jeraha uchungu natamani ukome
Nipe likizo mwenzio
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Jeraha (Single)
Copyright : (c) 2021 Just In Love Music.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
OTILE BROWN
Kenya
Otile Brown real name Jacob Otieno Obunga (born on 21st March 1994) is an urban contemporary musicia ...
YOU MAY ALSO LIKE