Amor Lyrics

Ooh yeah, beiby
This one for the true lovers
Just In Love Music
Hey naumia moyo
Beiby...yeah mmh
Ningekuwa mng'ata hii dunia
Ooh mi amor
Ila ndo nisije jaliwa
Sina la ku offer
Zaidi ya mapenzi ya dhati
Hali yako naielewa
Wala usijali, nimekubali ilivyo
Kwako nimelowa
Nilidhani nitaelea nikajihisi mia, ooh
My cherie
Hata na pasi nasa nayo ooh beiby
My hunnie
Hata balobi natika yoh jameni
My cherie
Hata na pasi nasa nayo ooh beiby
My hunnie
Hata balobi natika yoh jameni
Kwenye shida na raha, aah-aah
Kwa kumbato lako ni sawa, sawa
Kwa maradhi sihitaji dawa, dawa
Kwa busu lako baba ni sawa, sawa
Hali mradi niko na wewe
(iyee, iyee aaah)
Hali mradi niko na wewe
(iyee, iyee aaah)
Hali mradi niko na wewe
(iyee, iyee aaah)
Hali mradi niko na wewe
(iyee, iyee aaah)
Hatuna king-size bedi ila twalala(twalala)
Haila za burger, ila twala(twala)
Umeridhia moyo
Kwa penzi lako la dhamani
Hatuna king-size bedi ila twalala(twalala)
Burger, ila twala(twala)
Umeridhia moyo
Kwa penzi lako la dhamani
Hali yako naielewa
Wala usijali nimekubali ilivyo
Kwako nimelowa
Nilidhani nitaelea nikajihisi mia
My cherie
Hata na pasi nasa nayo ooh beiby
My hunnie
Hata balobi natika yoh jameni
My cherie
Hata na pasi nasa nayo ooh beiby
My hunnie
Hata balobi natika yoh jameni
Kwenye shida na raha, aah-aah
Kwa kumbato lako ni sawa, sawa
Kwa maradhi sihitaji dawa, dawa
Kwa busu lako baba ni sawa, sawa
Hali mradi niko na wewe
(iyee, iyee aaah)
Hali mradi niko na wewe
(iyee, iyee aaah)
Hali mradi niko na wewe
(iyee, iyee aaah)
Hali mradi niko na wewe
(iyee, iyee aaah)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Amor (Single)
Copyright : All rights to the owner.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
OTILE BROWN
Kenya
Otile Brown real name Jacob Otieno Obunga (born on 21st March 1994) is an urban contemporary musicia ...
YOU MAY ALSO LIKE