Mungu Wangu Lyrics
Eh eh eeh umenitoa mbali Baba
Kufika hapa sio kwa nguvu zangu
Mungu wangu sina cha kukupa ila asante (Asante)
Hata walio na macho wameona
Sitachoka kukushukuru wewe
Asubuhi mchana hata usiku
Siwezi move move, siwezi kumove bila wewe
Hata hilo unatambua
Siwezi move move, siwezi kumove bila wewe
Hata hilo unatambua
Basi niongoze niepushe na wabaya
Niongoze niepushe na wabaya
Asante, asante
Asante, asante
Walisema sitatoboa kwa huu mziki
Hata mwaka sitamaliza
Walisema hapo mwanzo sitoweza
Ewe Allah ukaniwezesha
Mdomo wa mwanadamu sumu, mdomo sumu
Lakini kwako waligonga mwamba
Mdomo wa mwanadamu sumu, sumu
Ila kwako waligonga mwamba
Siwezi move move, siwezi kumove bila wewe
Hata hilo unatambua
Siwezi move move, siwezi kumove bila wewe
Hata hilo unatambua
Basi niongoze niepushe na wabaya
Niongoze niepushe na wabaya
Asante, asante
Asante, asante
Asante, asante
Asante, asante
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Mungu Wangu (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE