Home Search Countries Albums

Party Lyrics


Party, tuna dance
Party, tuna dance
Party, tuna dance
Party, tuna dance

I say uuh aah
Tupo mbele twaongoza
Usinikanyage utateleza
Wengine waache wanangojea
Kipenga kilie wanavamia, wanavamia, wanavamia
Pesa makaratasi tunazitumia noti
Na wakizima taa tunamulika na torch
Wengine wanacheza umlando kwenye kochi
Usipokuta gambe utakutana na nyasi
Ving’ora vya polisi na hatuna wasiwasi
Na bia zikikata tunamaliza na short
Kila mara kila siku twapendeza
Akili zetu kwenye mziki tunateleza
Msitari wa mbele kwenye vibe utaeleza, utaeleza

Hasa twende
Kimbelembele, Kimbelembele
Kimbelembele, Kimbelembele
Rudi, kinyumenyume, kinyumenyume
Kinyumenyume
Hasa twende
Kimbelembele, Kimbelembele
Kimbelembele, Kimbelembele
Rudi, kinyumenyume, kinyumenyume
Kinyumenyume

Kata mitungi, Kata mitungi
Kata mitungi, Kata mitungi
Kata mitungi, Kata mitungi
Kata mitungi aaaahh
Kata mitungi, Kata mitungi
Kata mitungi aaaahh
Kata mitungi, Kata mitungi
Kata mitungi yeebooo

Ameshalewa kazidisha mitungi ona anapapatika
Ameshakula kanogewa vya wahuni
Ona watan bandika
Kila mara kila siku twapendeza
Akili zetu kwenye mziki tunateleza
Msitari wa mbele kwenye vibe utaeleza, utaeleza

Hasa twende
Kimbelembele, Kimbelembele
Kimbelembele, Kimbelembele
Rudi, kinyumenyume, kinyumenyume
Kinyumenyume
Hasa twende
Kimbelembele, Kimbelembele
Kimbelembele, Kimbelembele
Rudi, kinyumenyume, kinyumenyume
Kinyumenyume

Kata mitungi, Kata mitungi
Kata mitungi, Kata mitungi
Kata mitungi, Kata mitungi
Kata mitungi aaaahh
Kata mitungi, Kata mitungi
Kata mitungi aaaahh
Kata mitungi, Kata mitungi
Kata mitungi yeebooo

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Party (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

NEDY MUSIC

Tanzania

Nedy Music is a recording artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE