Amalile Lyrics
Kwanza uliniomba nikupende nisikize ya walimwengu
Nikaheshimu maneno yako nikafungua moyo wangu
Ulinipo nikosea nilisamehe zaidi mara saba sabini
Na nilipokukosea huku nyamaza wakajua na majirani
Nikaanza kusikia na bwana toka congo
Aliyekuletea chacha ukanisaliti mumeo
Hivi ni nini ulitaka nikupe
Shukrani ya punda mateke
Yakishakushinda usijute
Hivi ni nini ulitaka nikupe
Shukrani ya punda mateke
Yakishakushinda unikumbuke
Pesa zangu mali zangu nilikupe mpezi wewe wamalile
Pesa zangu mali zangu nilikupe mpezi wewe wamalile
Eh wamalile wamalile
Eh wamalile Wamalile
Eh wamalile wamalile
Eh wamalile wamalile
Manenno nikisema yatapunguza heshima
Moyoni naficha kumstiri mwanangu
Shida nilizopata kukuletea furaha
Nikiyakumbuka naumia uchungu
Naka wimbo nikakuimbia
You’re the only one
Na bado ukanikimbia labda ni shetani
Jua furaha sio pesa
Japo nilikupa
Kama hukutosheka
Jibu sio kuondoka
Umemuacha mtoto kwa mdundiko unapigwa kwa jirani
Ningeijua hiyo ngoma ningeipiga tucheze humu ndani
Eh wamalile wamalile
Hauna huruma hata kidogo wamalile
Ona katoto bado kadogo wamalile
Na kila la kheri uko uwendako
Pesa zangu mali zangu nilikupe mpezi wewe wamalile
Pesa zangu mali zangu nilikupe mpezi wewe wamalile
Pesa zangu mali zangu nilikupe mshenzi wewe wamalile
Pesa zangu mali zangu nilikupe mshenzi wewe wamalile
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Rais Wa Kitaa (Album)
Copyright : ©2021 Free Nation.All rights reserved.
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
NAY WA MITEGO
Tanzania
Emmanuel Elibariki, popularly known as Nay Wa Mitego, or simply Mr Nay, is a Tanzanian r ...
YOU MAY ALSO LIKE