Wallahi Lyrics
Sio sura tu
Mtoto mwendo nyatu nyatu
Fyetu fyetu pako mpaka najilaumu
Na penzi lako lishakuwata
Tena mwanga naona mbali
Nibalishe hadi motokaa
Nione kama utanikubali
Bana sio poa, siku hizi ninavimba wanakonda
Ati kisa ni mapenzi
Bana sio poa, hata wakisha wakipona
Mpaka wajinyonge huu mwaka huu
Penzi likoleze my baby boo
Najua unanipenda I love you too
Mi sina mwingine ni wewe tu
Wallahi, wallahi
Wallahi, wallahi
Mashallah Mashallah
Ulivyoumbika naona uchizi wee
Sura wowowooo
Mkumbato mwizi ndani yote una ukizi we
Mashallah Mashallah
Ulivyoumbika naona uchizi wee
Sura wowowooo
Baby oh I love you
Kwenye wangu mtima
Uko peke yako
Hivi ukiondoka, utabaki wazi
Na kwenye wangu mtima
Kuna uwepo wako
Ujue ukiondoka
Ah nitaambia nini watu?
Wallahi, wallahi
Wallahi, wallahi
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Wallahi (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE