Domo Domo Lyrics

Watu wengine lao domo domo tu
Kuchunguza maneno yasiyo wahusu
Watu wengine lao domo domo tu
Kuchunguza maneno yasiyo wahusu
Watu wengine lao ni udaku
Midomo yao haichoki katu
Watu wengine lao ni udaku
Midomo yao hawafyati katu
Watu wengine lao domo domo tu
Watu wengine lao domo domo tu
Watu wengine lao domo domo tu
Watu wengine lao domo domo tu
Watu wengine lao domo domo tu
Watu wengine lao domo domo tu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Changanya (Album)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
NABALAYO
Kenya
Nabalayo also known as 'Mama Changanya' is a music maker, folk music, and ethnomus ...
YOU MAY ALSO LIKE