Macheo Lyrics
Usishangae unavuna ulichopanda shauri yako
Shauri yako
Mbona macho, macho mapana
Hapo awali mlijifanya popo
Rinaika Jogolo
Nairobi nahula mizinga ha!
Rinaika Jogolo
Nairobi nahula mizinga ha!
Acha nyumbu avuke Mara
Hata mamba wakitazama (Wakitazama)
Achaneni na mitandao nenda kavune
Mlichopanda (Mlichopanda)
Rinaika jogolo, rinaika jogolo
Nairobi nahula mizinga ha!
(Nairobi nahula mizinga ha!)
Rinaika jogolo, rinaika jogolo
Nairobi nahula mizinga ha!
(Nairobi nahula mizinga ha!)
Rinaika jogolo, rinaika jogolo
Nairobi nahula mizinga ha!
(Nairobi nahula mizinga ha!)
Rinaika jogolo, rinaika jogolo
Nairobi nahula mizinga ha!
(Nairobi nahula mizinga ha!)
Haiya rero haiya (Haiya)
Na zilale koma ha!
Haiya, kuna mwana wa simba
Nahirika mizinga sijali
Haiya rero haiya (Haiya)
Na zilale koma ha!
Haiya, kuna mwana wa simba
Nahirika mizinga sijali
Kavikale! Huo hahe huo!
Kavikale! Huo hahe huo!
Kavikale! Huo hahe huo!
Kavikale! Huo hahe huo!
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Changanya (Album)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
NABALAYO
Kenya
Nabalayo also known as 'Mama Changanya' is a music maker, folk music, and ethnomus ...
YOU MAY ALSO LIKE