Wewe Ni Mungu Lyrics

Wewe Ni Mungu
Njooni Tumsifu
Wewe Ni Mungu Song Lyrics
Vizazi hadi Vizazi Vya kufahamu wewe
Uliye mungu wa kale na uliye mungu wa leo
Kazi zako zaonyesha ukuu wako wewe
Umetukuka umeinuliwa ewe bwana
Kweli wewe wewe ni mungu
Kweli wewe wastahili
Umeketi juu sana kwenye kiti cha enzi
Umejivika utukufu wewe ni mungu
Nikitazama matendo yako na nguvu zako wewe
Yadhihirika machoni mwangu wengine wote ni miungu
Uumbaji wako waonyesha hekima yako wewe
Watukuzwa kati ya mataifa milele bwana
Kweli wewe wewe ni mungu
Kweli wewe wastahili
Umeketi juusana kwenye kiti cha enzi
Umejivika utukufu wewe ni mungu
Sifa zako zi kinywani mwangu
Kwa jinsi ulivyo wewe
Kwa kusanyiko la watu wako nikuinue mungu wangu
Nionyeshe heshima zako
Malangoni mwako wewe
Nakutukuza nakuinua ewe bwana
Kweli wewe wewe ni mungu
Kweli wewe wastahili
Umeketi juusana kwenye kiti cha enzi
Umejivika utukufu wewe ni mungu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2016
Album : Wewe ni Mungu (Single)
Copyright : ©2016
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE