Home Search Countries Albums

CCM Lyrics


Okey! Amini kwamba mzee wa Bwax hapa
Mtoto wa nje ya ndoa

CCM chama la wana 
Magufuli kiboko yao
CCM chama la wana 
Magufuli kabari yao

We kama unampenda Magufuli mikono juu
Kama unaipenda CCM piga kelele
Kama unampenda Magufuli mikono juu
Kama unaipenda CCM piga kelele

We jamani chaguo chaguo 
Chaguo langu mie
CCM elfu mbili na Ishirini
Kura yangu kwa Magufuli

We jamani chaguo chaguo 
Chaguo langu mie
CCM elfu mbili na Ishirini
Kura yangu kwa Magufuli

Hakuna rais mwenye misimamo Afrika
Kama Magufuli
Amefanya mengi Magufuli 
Wenyewe tumeona

Air Tanzania, elimu bure
Wenyewe tumeona
Jamani standard gauge
Flyover wenyewe tumeona

Magufuli rais wetu huyo
Wananchi tunampenda
Magufuli rais wetu huyo
Raia tunampenda

CCM chama la wana 
Magufuli kiboko yao
CCM chama la wana 
Magufuli kabari yao

We kama unampenda Magufuli mikono juu
Kama unaipenda CCM piga kelele
Kama unampenda Magufuli mikono juu
Kama unaipenda CCM piga kelele

Na wanangu tumchague
Magufuli tumchague
Aah boda boda tumchague

Mtetezi wa wanyonge tumchague
Kina mama tumchague
Aah mchapa kazi tumchague

Tunampenda Magufuli
Mchapa kazi Magufuli
Mtetezi wa wanyonge Magufuli
Mpenda haki, Magufuli

Wananchi tumchague
Magufuli tumchague
Kipenzi cha watu tumchague

Kama kweli CCM nionyeshe kijani
Kama kweli Magufuli nionyeshe ya njano
Kama kweli CCM nionyeshe kijani
Kama kweli Magufuli nionyeshe

We peperusha bendera (Mama mama) 
We bendera
Kwa Magufuli bendera (Humo humo)
We bendera

We peperusha bendera (Wekaa) 
We bendera
Na CCM bendera (CCM hoyee)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : CCM (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MZEE WA BWAX

Tanzania

Mzee wa Bwax is a Tanzanian artist. ...

YOU MAY ALSO LIKE