Come Again Lyrics
Rakata sakata, yeah
(Kimambo on the Beats)
Kama umeletwa na upepo wa kisulisuli
Napenda vile unanukiaga utulituli
Na kwenye bedi bwana we ni ngulinguli
Napenda vile unavyonipaga vizuri zuli
Mara sembe mara dona (Babe babe..)
Haya machenga Maradonna (Babe babe..)
Mara tuta mara kuona(Babe babe..)
Naugua na kupona
Usinibanie, naona utamu
Acha nipanie maana utamu
Usinibanie, naona utamu
Acha nipanie maana utamu
Come again, come again
Bado bado, come again
Come again, come again
Bado bado, come again
Come again, come again
Bado bado, come again
Come again, come again
Bado bado, come again
[Eddy Kenzo]
-------------
-------------
Kila siku nakuwaza mpenzi
Kukucheat mi hata siwezi
Kukucheat mpenzi siwezi
Ntakufuge nikutware kudate
Beiby I want some
Beiby give some
Handsomeboy pesa nina some
I don't wanna admire you and Zachia
Vile twagombana, watakujia
-- honey uliliza dear
Do you remember-- simsima mama...
Fimbo, Ronaldo
Usinibanie, naona utamu
Acha nipanie maana utamu
Usinibanie, naona utamu
Acha nipanie maana utamu
Come again, come again
Bado bado, come again
Come again, come again
Bado bado, come again
Come again, come again
Bado bado, come again
Come again, come again
Bado bado, come again
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : The 4 Some/ Come Again (EP)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE