Home Search Countries Albums

Billie Jean

MR RIGHT Feat. AJAY

Billie Jean Lyrics

Yoh, tano nane
You think you know me

Yoh, yoh tano nane listen
Yoh yoh yoh

Wapo wanadai kuhang na team
Gang ni safi but sometimes si huchafua scene
The sky is blue but I always rock my pinkie ring
Kinywaji ni safi hakuna stori jo za billie jean
Za billie jean, za billie jean

Wapo wanadai kuhang na team
Gang ni safi but sometimes si huchafua scene
The sky is blue but I always rock my pinkie ring
Kinywaji ni safi hakuna stori jo za billie jean
Za billie jean, za billie jean

Yoh, 58, 58, 58
Tano nane, kwani ni kesho
58, 58, 58

Wapo wanadai kuhang na team
Wapo wanadai kuhang na team
Gang hukuwaga na skills 
Thats why my goon hukuwa na drill

Nike mi hukuwa na drip
Cognac mi hukuwa na sip
Aii mi hukuwa na kill
Hitman mi hukuwa na hit
Agent 47 utadhani nimewekewagwa chip aii

Hii gang ni safi, hii gang ni safi
Hii gang, hii gang ni clean 
Hii shash ni safi, hii shash ni fatty
Aii hakuna maslim
Na ka hauko active, ka hauko active
Man unatoka kwa team 

Hii gang ni safi, hii gang ni safi
Hii gang, hii gang ni clean 
Hii shash ni fatty, hii shash ni safi
Aii hakuna maslim
Na ka hauko active, ka hauko active
Man unatoka kwa team 
Na ka hauko active, ka hauko active
Man unatoka kwa team

Wapo wanadai kuhang na team
Gang ni safi but sometimes si huchafua scene
The sky is blue but I always rock my pinkie ring
Kinywaji ni safi hakuna stori jo za billie jean
Za billie jean, za billie jean

Wapo wanadai kuhang na team
Gang ni safi but sometimes si huchafua scene
The sky is blue but I always rock my pinkie ring
Kinywaji ni safi hakuna stori jo za billie jean
Za billie jean, za billie jean

[Ajay]
Mresh wako ananipea ju ya fame ka MJ
Ye hunipea hio kitu nipige
Hiyo kitu yako ni ndogo 
Hadi ukiwa ndani huezi jua ka uko nje

Mi bazenga daddie mradi zote za ganji
Huh mi hukuwa inde
Mistari hutoka kwa hii kichwa ni mbaya
Unaezadhani mi hukuwa sicked

Hii drip ni clean, hii gang ni clean
Hii gang ni wasafi sana
Sema cheza mi nadai mambramba
Mulla ikismoke nina beef na NACADA

Tano nane sisi si wa Ummo
Ah lakini tunazoza sana
Nishakupea warning
Mmsiseme tukikam ah, hamkukanywa

-- a minute
Trouble na oti jeshi wa mine malocals kama
Kila mahali fake taste 
Inafanya promoter anabaki ameweka lawama

Mwisho ni Kifaru ama Taurus
Ah mwezi ina pamba 
Na ukae rada ya hao mayiela 
Ah wanaweza kupaka 

Wapo wanadai kuhang na team
Gang ni safi but sometimes si huchafua scene
The sky is blue but I always rock my pinkie ring
Kinywaji ni safi hakuna stori jo za billie jean
Za billie jean, za billie jean

Wapo wanadai kuhang na team
Gang ni safi but sometimes si huchafua scene
The sky is blue but I always rock my pinkie ring
Kinywaji ni safi hakuna stori jo za billie jean
Za billie jean, za billie jean

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2020

Album : Billie Jean (Single)

Copyright : (c) 2020 Buruklyn Boyz

Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MR RIGHT

Kenya

Mr right, aka Durag master is a rapper hailing from Buruklyn Nairobi. They formed Buruklyn Boyz a ga ...

YOU MAY ALSO LIKE