Siko Soko Lyrics

Ni kama sijitambui sijielewi
Amenizaba na pengi lake
Sijikumbuki mi mahututi
Amenifunga na nyororo
Am so confused, going crazy
Kiutanitani nishajipa
Zumbukuku kichizi
Kimchezomchezo nishazama
Hua najipata nakula na yeye
Nalala na yeye
Naamka na yeye
Yaani me ni wake
Hua najipata nakula na yeye
Nalala na yeye
Naamka na yeye
Yaani me ni wake
Siko soko tena, nimenunuliwa
Hunipati tena nimechukuliwa
Siko soko tena, nimenunuliwa
Hunipati tena nimechukuliwa
Is this love they call, the love they sing
Abracadabra
Am feeling loved again, am young again
Sinaga ubaya
Yani mini ni wake na nishapendwa
Nishachukuliwa
Moloyoni mwake aah nimebebwa
Nimekubaliwa
Mini ni wake na nishapendwa
Nishachukuliwa
Moloyoni mwake aah nimebebwa
Nimekubaliwa
Hua najipata nakula na yeye
Nalala na yeye
Naamka na yeye
Yaani me ni wake
Hua najipata nakula na yeye
Nalala na yeye
Naamka na yeye
Yaani me ni wake
Siko soko tena, nimenunuliwa
Hunipati tena nimechukuliwa
Siko soko tena, nimenunuliwa
Hunipati tena nimechukuliwa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2023
Album : Siko Soko (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
ADASA
Kenya
Adasa Dasa is fast rising artist from Kenya signed under Dallaz Records. Her first song o ...
YOU MAY ALSO LIKE