Home Search Countries Albums

KO Lyrics


Nawavua jezi hawachezi
Mandezi wako reserve
Wazee wa madawa kwenda rehab
Na nyie wapinzani hakuna re-match

Burudani ni ugonjwa kula tiba
Weka live ni vitasa nawapiga
Nawapiga wajinga wajinga
Wanaoiga kufanya rap tu najiona jigga
Leo natafuna hizo figure
Nawachinja makinda

Nashinda kwa tiktok
Midomo nawaziba mada fanta
Chakula kwa mirija bila kutaka
Mtaa wa polisi haukatizi kibaka
Dozi ya kila siku na inaotoka kila mwaka
Hili chata kubwa kwa kila chapter
Tahadhari kwa kila rapper
Mpeane habari kila chaka
Na kila papa ngumi moja tu
Ngumi chuma historia kamata watu wa nyuma
Mlango umekutana na jiwe Fatuma
Piga garagaza bila huruma 
Nani kakutuma mwite aliyekutuma

Ngumi moja tu, ya kichwa
Wanatoka ulingoni
Shuti moja tu, za ubavu
Ona golini siwaoni

Nawapiga KO, Nawapiga KO
Nawapiga KO, Nawapiga KO

Ngumi moja tu, ya mbavu
Wanatoka ulingoni
Shuti moja tu, ya uso
Ona golini siwaoni

Nawapiga KO, Nawapiga KO
Nawapiga KO, Nawapiga KO

Mi ndio Pac mi ndio Biggy
Mi ndio Puff mi ndio Diddy
Uh puff puff weedy
Uh Ngosha the Don Fiddy
Juma Nature ananijua mi ndio mtoto Iddy
Osama gaidi king kong cheedy
Vunja nazi kuogoka mtoto wa Mama Saidi
Mi ndio ile bidii

Mi wa zamani toka zile enzi za CD
Nauza fani sijui hata maana ya CV
Mpaka mtaani wanajua nalala kwa TV
Mi ndio king kiki baba la mziki

Mbuyu kisiki rap mi ni verified bila kitiki
Siachi mziki mpaka waseme mashabiki
Hata kama sisikiki sitegemei kiki
Nashukuru baba Mungu kwa riziki

Sama Sama goal king majuto
Mi ndo yale mavi yanayonuka kila choo
Mi ndo yale maji yanayojaza kila ndoo
Mi ndo kila show, mi ndo kila flow

Mtoe bila bila, walitoi draw
lazima leo wabebwe na machela
Huu mziki mnene uliza masela
Lazima utanipakia saa niende jela

KO, ya kichwa KO
KO, ya ubavu KO

Nawapiga KO, Nawapiga KO
Nawapiga KO, Nawapiga KO

Ngumi moja tu, ya kichwa
Wanatoka ulingoni (KO)
Shuti moja tu, za ubavu
Ona golini siwaoni (KO)

Nawapiga KO, Nawapiga KO
Nawapiga KO, Nawapiga KO

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : KO (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MR BLUE

Tanzania

Khery Sameer Rajab popularly known as Mr Blue, is a Tanzanian RnB and Bogo Flava musician born on Ap ...

YOU MAY ALSO LIKE