Naolewa Lyrics

Aaaanh aaaaah aaaanh
It's monia fleur
Aaaaaah aaaaah aaaaaah
Uko wapi my ex?
Nataka nikupe kadi
Kesho ntaolewa nataka ufike, sitaki zawadi
Niko pamoja na hubby anakusalimia
Eti kesho usikose ukule ukunywe atagharamia
Umenitupa akaniokota
Mugonjwa ye ni docta
Imesha ng'aa nyota naolewa
Umenitupa akaniokota
Mugonjwa ye ni docta
Imesha ng'aa nyota naolewa
Aaaaaahn aaaaa aaaaahn naolewa
Aaaaaahn aaaaa aaaaahn utaelewa
Aaaaahn aaaaa aaaaahn mi naolewa
Aaaaahn aaaaa aaaaahn
Kilicho kichungu kwa mwengine kitamu
Napendwa kizungu
Nawangu amor
Eeeeeeh
Ananipa penzi tam tam tam
Ananimaliza ham ham ham
Mi ni eva ye adam dam dam
Hubbyyyyyy
Ananipa penzi tam tam tam
Ananimaliza ham ham ham
Mi ni eva ye adam dam dam
Hubbyyyyyy
Umenitupa akaniokota
Mugonjwa ye ni docta
Imesha ng'aa nyota naolewa
Umenitupa akaniokota
Mugonjwa ye ni docta
Imesha ng'aa nyota naolewa
Aaaaaahn aaaaa aaaaahn naolewa,
Aaaaaahn aaaaa aaaaahn utaelewa
Aaaaahn aaaaa aaaaahn mi naolewa
Aaaaahn aaaaan aaaahn
Umenitupa akaniokota
Mugonjwa ye ni docta
Imesha ng'aa nyota naolewa
Umenitupa akaniokota
Mugonjwa ye ni docta
Imesha ng'aa nyota naolewa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE