Zipo Lyrics
Sheria zipo, mitandao ipo, watumiaji mpo

Serikali ipo, kanuni zipo, kuzikiuka mwiko

Sheria na kanuni zifuate, ayeyeye zifuate
Maadili na tamaduni zifuatwe, msipuuze zifuatwe
Mitandao tumieni kwa kusomea, kuperuzi pamoja na habari
Soma kichwa cha habari, bila kiki
Kabla hujapeleka habari, mitandaoni
Kisha ihakiki habari, jiridhishe
Kabla hujaposti habari
Usitie mbwembwe kwenye habari
Mwisho wa siku utaharibu
Sheria zipo, mitandao ipo, watumiaji mpo
Serikali ipo, kanuni zipo, kuzikiuka mwiko
Sheria zipo, mitandao ipo, watumiaji mpo
Serikali ipo, kanuni zipo, kuzikiuka mwiko
Dhibitisha vyanzo vya habari
Je habari hio ni utani
Kisha kagua picha
Kagua chunguza na tarehe
Angalia vizuri anuwani ya tuvuti iliyotumika
Chunguza chanzo cha habari
Angalia usanifu na mpangilio pia
Linganisha taarifa za vyombo vingine pia kama sawasawa
Soma kichwa cha habari, bila kiki
Kabla hujapeleka habari, mitandaoni
Kisha ihakiki habari, jiridhishe
Kabla hujaposti habari
Usitie mbwembwe kwenye habari
Mwisho wa siku utaharibu
Ooh niwakumbushe
Sheria zipo, mitandao ipo, watumiaji mpo
Serikali ipo, kanuni zipo, kuzikiuka mwiko
Sheria zipo, mitandao ipo, watumiaji mpo
Serikali ipo, kanuni zipo, kuzikiuka mwiko
Sheria na kanuni zifuate, ayeyeye zifuate
Sheria zipo, mitandao ipo, watumiaji mpo
Serikali ipo, kanuni zipo, kuzikiuka mwiko
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Zipo (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MIMI MARS
Tanzania
Mimi Mars ( Marianne Mdee) is a singer and song writer from Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE