Home Search Countries Albums

Shori

MICHARAZO

Shori Lyrics

Kariakoo ndio nyumbani ndio sehemu tutaanza
Kama ya nchi jirani na mikoa kama Mwanza
Chief kuku mitaa ya sikukuu
Mwambie kachumbari sio lazima vitunguu

Mambo yakiwa shwari mcheki na Mr Blue
Kwenye upepo wa bahari aje na masister duu 
Ahh kwa baresa kula koni
Tunatumia pesa, funga mdomo piga honi
Tunachoma nyama na wabunge muulize Moni
Moni wa cetral zoni, majengo sokoni
Tunakula maisha unayo ota ndotoni
Njoo upunguze stress urudi kama utotoni

Am like, hey shoree hii ni reality
Tena sio storii, 
Njoo ule kwanja na ujanja wa sinzo moree
Duniani kuna mambo na mambo ni ya watu polee

Shawty I wanna take you to the downtown(Shoree)
Shawty I wanna see you being around around(Hey shawty)
Shawty I wanna take you to the downtown(Shorii)
Shawty I wanna see you being around around(Hey shawty)

Zangu mi navuka border, Kampala na Bunjumbura
Kwenye angle za wanjanja, wabishi na wauza sura
Watoto wenye chura, kama dada snura
Ata Bongo nawapanga, Tanga kwa kina Shura
Mpaka Kenya na penya maclub zote 
Wanabaki wanasengenya, natema ma-vibe yote

Muulize Wema nikisema lazima ung'ooke 
Gwanda kama Poti Rema, mwanajeshi pande zote
Kunywa bia mama usiogope bili
Hata waiter nishamwambia, baa nzima mbili mbili
Tunalewa akili, hatulewi mwili 
Leo niite Ngwair, nipe jiri nikupe jiri
Juu khaki chini, khaki na mimi
Wassup Babylon Bizy, baki na mimi
Nikupeleke visiwani ma, hutaki kwa nini?
Welcome to the third life mama, baki wa nini?

Shawty I wanna take you to the downtown(Shoree)
Shawty I wanna see you being around around(Hey shawty)
Shawty I wanna take you to the downtown(Shorii)
Shawty I wanna see you being around around(Hey shawty)

Hey shawty mi nakuita(Shorii)
Why baby unasita?(Shorii)
Mi nataka ukifika twende town town(Twende town baby)
Hey shawty mi nakuita(Shorii)
Why baby unasita?(Shorii)
Mi nataka ukifika twende town town(Twende town baby)

Niko fresh what a lex?
Jana nilifinya my Ex
Nikamwambia nitakutext
Nikitaka tena, ooh ooh

Kila day I got a new shawty
Ni number one in my top fouty
Unanipa sare ju kila kitu napay
Ni baby face, so kwa uso ndo naspray

Twende downtown, nikushow around
Natoka underground, Huruma Eastlands
Unataka husband, si ni mahustler
Machimney, pia maguzzler
Zanzibar, niko na bar
Ukiboeka tukadarane far
Sitishwi na car, rudishwa na mat
Always like that, its like that

Shawty I wanna take you to the downtown(Shoree)
Shawty I wanna see you being around around(Hey shawty)
Shawty I wanna take you to the downtown(Shorii)
Shawty I wanna see you being around around(Hey shawty)

Shawty I wanna take you to the downtown(Shoree)
Shawty I wanna see you being around around(Hey shawty)
Shawty I wanna take you to the downtown(Shorii)
Shawty I wanna see you being around around(Hey shawty)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2019

Album : Shori (Single)

Copyright : All rights to the owner.

Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MICHARAZO

Tanzania

Micharazo is a dope hiphop crew from Nairobi and Tanzania consisting of Mr Blue, Bobby Mapesa, Cotto ...

YOU MAY ALSO LIKE