Nivute Lyrics

Nimeishi kwa nyumba yako, oh
Miaka mingi
Lakini sa nataka kwako
Kusongea zaidi
Upendayo nami nipende
Sauti nifahamu zaidi
Nione kama uonavyo
Wewe
Nimeishi kwa nyumba yako, oh
Miaka mingi
Lakini sa nataka kwako
Kusongea zaidi
Upendayo nami nipende
Sauti nifahamu zaidi
Nione kama uonavyo
Wewe
Nivute we Baba, karibu na wewe
Naulenga moyo wako Baba kama Daudi
Njia zangu maisha yangu, yalingane na neno lako
Njia zangu maisha yangu, yakupendeze, oh oh
Nimeamua maisha yangu
Kwa utukufu wako
Yesu ukiwa nami
Oh wanibadilisha
Kama samaki ahitaji maji
Ndivyo nakuhitaji
Wewe ndiwe lengo langu we
Kama samaki ahitaji maji
Ndivyo nakuhitaji
Wewe ndiwe lengo langu we
Nivute we Baba, karibu na wewe
Naulenga moyo wako Baba kama Daudi
Njia zangu maisha yangu, yalingane na neno lako
Njia zangu maisha yangu, yakupendeze, oh oh
Nivute, nivute
Oooh nivute nivute
Nivute we Baba, karibu na wewe
Naulenga moyo wako Baba kama Daudi
Njia zangu maisha yangu, yalingane na neno lako
Njia zangu maisha yangu, yakupendeze, oh oh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Zaidi/ Nivute (Album)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE