Home Search Countries Albums

Muite Yesu

MERCY MASIKA

Muite Yesu Lyrics


Aaah,  Aah, Aah
Aaah...

"Hello" 
'Hello habari yako'
Niko poa sana 
mimi na bado niko

Tunajibu 'ni poa'
Tukisalimiwa
Na ndani wengi wetu 
Tunaumia

Picha mtandaoni 
Maisha bandia 
Kwake Mungu 
Hakuna kimejificha

Uko salama 
Kwake peke yake
Mikononi mwake
Usinyamaze muite

Uko salama 
Kwake peke yake
Mikononi mwake
Usinyamaze muite

Muite baba leo(muite)
Muite baba leo(muite)
Oooh(muite)
Usinyamaze muite

Muite baba leo(muite)
Akupenda wewe(muite)
Akusikia leo(muite)
Usinyamaze muite

Simama, shika we
Shika neno, itana
Oooh
Yesu atasikia

Mpe zote 
Shida zako, fikira
Aibu yote
Yeye atatatua

Uko salama 
Kwake peke yake
Mikononi mwake
Usinyamaze muite

Uko salama 
Kwake peke yake
Mikononi mwake
Usinyamaze muite

Muite
Wachana na stress(muite)
Usijinyonge wewe (muite)
Usinyamaze muite

Kwa shida zako we(muite)
Aibu zako wee(muite)
Muite wee(muite)
Usinyamaze muite

Uko salama 
Kwake peke yake
Mikononi mwake
Usinyamaze muite

Muite
Itana we(muite)
Ita Yesu wee(muite)
Usinyamaze muite

Atatatua leo(muite)
Shida zako leo(muite)
Muite wee(muite)
Usinyamaze muite

Hasira zako we(muite)
Depression shindwa(muite)
Cancer ondoka(muite)
Usinyamaze muite

Familia yako(muite)
Katika jina la Yesu(muite)
Ooooh(muite)
Usinyamaze muite

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Muite Yesu (Single)


Copyright : All rights to the owner.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MERCY MASIKA

Kenya

Mercy Masika is a Gospel Singer and songwriter from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE