Home Search Countries Albums

Kakinuka

MBOGI GENJE Feat. WAFALME

Kakinuka Lyrics


Na si adi mbona unableki na bado hujajitepa ah
Tumejipin mpaka unadai sepa
Na bado ni mashash madawa wakuziburn
Ka kawa wakujinyc baadae ni kumteka

Ju ka ni mbaya ni mbaya kama kawaida
Bado ni mashang' vidungi za kila aina
Ririma kuwatepa kuwachuna ka designer
Ngeso ni kuwaswipe kupona kutoa ryte ee

Diki ni mwere si alidhani jo ni movie
Ju vile kalibonga ilibaki ametoka nduki
Bado kumeditate kuririma na mandugu
Utabaki umevuta chaji unaskia si ndio maguru

Looku daily itabaki mmetutaja kakinuka
Mahedi ni harufu tu ya ganja kakinuka
Atadedi uyo mrazi akibanja katanuka
Kaguze kanuke na bado tukanuse

Looku daily itabaki mmetutaja kakinuka
Mahedi ni harufu tu ya ganja kakinuka
Atadedi uyo mrazi akibanja katanuka
Kaguze kanuke na bado tukanuse

Tuko kazi ka daily mpaka lugha ni ya ganji
We mrazi ni ka ulipewa umwere ka kipaji
Ka Musa tupate area tukikata maji
Madawa na jeshi yangu yote magirimba

Ka kawa si dawa ya uchura tu ni mimba
Mirista we huiba ndo ujaribu kuimba
Na bado uko ndogo ka skirt ya bakuro
Mjini Koinange na bado si magwiji

Looku daily itabaki mmetutaja kakinuka
Mahedi ni harufu tu ya ganja kakinuka
Atadedi uyo mrazi akibanja katanuka
Kaguze kanuke na bado tukanuse

Looku daily itabaki mmetutaja kakinuka
Mahedi ni harufu tu ya ganja kakinuka
Atadedi uyo mrazi akibanja katanuka
Kaguze kanuke na bado tukanuse

Tumekuja bila noise warazi ni kubakishwa
Vuta ngale huko mbali sitaki ugonjwa ya mapafu
Kang'ethe akichachishwa ni kupigwa tu madihe
Kanuke ya kwanza ya pili tumepatch
Ni madibla tu imetapakaa kwa scene
Tukizied pia tunaliet kijamolize
Legalise manjege hutuskia tu
Tumesija yaani tumekuja whole

Looku daily itabaki mmetutaja kakinuka
Mahedi ni harufu tu ya ganja kakinuka
Atadedi uyo mrazi akibanja katanuka
Kaguze kanuke na bado tukanuse

Looku daily itabaki mmetutaja kakinuka
Mahedi ni harufu tu ya ganja kakinuka
Atadedi uyo mrazi akibanja katanuka
Kaguze kanuke na bado tukanuse

[Mbogi Genje - Smady Tings]
Mbogilise tu inadai makwal
Tunacheza kisoldier za kibattle
Ka ni janga mi huseti ndo niboost morale
Genje tunarun rima na si tafadhal

Kuna, kuna shang' nimesunda kinena
Zikiriet ni kutrek na kukang'a mambleina
Tunapiga baroda kama kadaila
Si ndo kusema jo si ndo makweng'a yoh

Shakaaa!

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Kakinuka (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MBOGI GENJE

Kenya

Mbogi Genje also known as "Sheng Masters" is a group of  three artists from Keny ...

YOU MAY ALSO LIKE