Home Search Countries Albums

Mapenzi Kamari

MATONYA Feat. NAY WA MITEGO

Mapenzi Kamari Lyrics


[CHORUS: Ney Wa Mitego]
Kumbe mapenzi Kamari
Chunga usije ukaliwa bana
Kuna wasichana hodari
Wanaojua kucheza sana
Mapenzi Kamari
Chunga usije ukaliwa bana
Wasichana hodari
Wanaojua kucheza sana

[VERSE 1: Matonya]
Mapenzi mtu siku hizi linapenda pochi
Mapenzi ya kweli hakuna wanasaka noti
Iwe mchana usiku kwenye mikakati
Na nusu uchi ngoja awekwe mtu Kati
Mapenzi Kamari yananiumiza
Yananiliza mwenzenu bado niko kwa giza
Lina hodari linatafuta mbesa
Ukilegeza kweli watakupoteza

[CHORUS ]
Kumbe mapenzi Kamari
Chunga usije ukaliwa bana
Kuna wasichana hodari
Wanaojua kucheza sana
Mapenzi Kamari
Chunga usije ukaliwa bana
Wasichana hodari
Wanaojua kucheza sana

[VERSE 2 : Matonya]
Mapenzi ya kweli shikamana gandamana
Kwa matapeli kweli hawana zamana
Kwao ni kheri ukiona mumechenga
Chunga kimwari usiingie nonda
Pesa sabuni ya roho ndio inaaribu mapenzi
Wapendanao wachache wanaotamani ni wengi

[Ney Wa Mitego]
Mapenzi siku hizi linapenda pochi
Hakuna mgeo penZi Tunasaka noti

[CHORUS]
Kumbe mapenzi Kamari
Chunga usije ukaliwa bana
Kuna wasichana hodari
Wanaojua kucheza sana
Mapenzi Kamari
Chunga usije ukaliwa bana
Wasichana hodari
Wanaojua kucheza sana

Mapenzi Kamari bana wee (Mazuu)
Chunga usije ukaliwa bana wee

[Matonya]
Nasema mpende Yule atakaye kupenda wee
Asokupenda achana na yeye
Mpende Yule atakaye kupenda te ee eh
Asokupenda achana na yeye

Mapenzi yamekua na mingi tamaa
Huyu na Yule .........?
Hata Tonya tayari nimeshaibiwa
Kisa na mali mimi sipendi kula

[Matonya]
Mapenzi mtu siku hizi linapenda pochi
Mapenzi ya kweli hakuna wanasaka noti
Iwe mchana usiku kwenye mikakati
Na nusu uchi ngoja awekwe mtu Kati

[CHORUS]
Kumbe mapenzi Kamari
Chunga usije ukaliwa bana
Kuna wasichana hodari
Wanaojua kucheza sana
Mapenzi Kamari
Chunga usije ukaliwa bana
Wasichana hodari
Wanaojua kucheza sana


[Matonya]
Ona magenge mazuri yamekua mengi uwongo
Tuliza, Tuliza , Tuliza  
Mapenzi Kamari ..........ee ahera
Uuh lalala! Wasichana hodari...

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2012


Album : Mapenzi Kamari (Single)


Added By : James Owotsi - Vaelua Jay Daktari

SEE ALSO

AUTHOR

MATONYA

Tanzania

Matonya Mbili whose real name is Seif Shaban, ia a Bongo Flava artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE