Pepo Lyrics
Genge la Bundoksi, Taniua
Masauti, 001, Kenyan Boy
(Magix Enga on the Beat)
Aah niruhusu mi nikuite mami
Ni yako mi sitaki ya nani
God one mi nitasaka money
Ju ni nyuki mi nitachovya honey
Niko na feeling naeza feel
Jicho nyanya zinaweza raru ukinifeel
Naughty girl twende basi msitiri
Ijumaa ikifika sitableki mi nitaparty girl
Ama tuende msikitini
Leo niko kwa Ng’ang’a, kesho kwa mganga uyo
Leo nitapagawa kweli nimepata huyo(Huyo huyo huyo)
Leo nitastagger kesi Maraga huyo(Huyo huyo huyoo)
Umenishikisha pepo, mapepo kwa penzi lako
Umenishikisha pepo, mapepo kwa penzi lako
Umenishikisha pepo, mapepo kwa penzi lako
Umenishikisha pepo, mapepo kwa penzi lako
Umenishikisha pepo
Kila nikilala nakuota tu kwa ndoto
Akili ishakuwa mental
Nitakaye muona namuita jina lako
Kukupata we sitojutia
Wangu malikia Mola mi kanijalia
Rhumba, kizomba nitakuiimbia
Cheza ukinikumbatia wangu maridhia
Umenishikisha pepo
Mapepo kwa penzi lako
Umenishikisha pepo
Mapepo kwa penzi lako
Umenishikisha pepo, mapepo kwa penzi lako
Umenishikisha pepo, mapepo kwa penzi lako
Umenishikisha pepo, mapepo kwa penzi lako
Umenishikisha pepo, mapepo kwa penzi lako
Waka waka, waka, kwenye kiza mama, waka
Kata kata, kata, uwaonyeshe mama, kata
Daka daka, daka, ka goalkeeper mama, daka
Waka waka, waka, kwenye kiza mama, waka
Waka waka, waka, waka, we waka
Waka waka, waka waka, we waka
Daka daka, daka, daka, we daka
Waka waka, waka, waka, we waka
Masauti, Kenyanboy
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Pepo (Single)
Copyright : (c) 2020 Dream Nation
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE