Mahabuba Lyrics
Mshukuru Mola manani
Alokulete duniani
Na pia washukuru wazazi
Walivyokulea
Wako wengi walokutamani
Wasotaka kukuoa
Lakini ukajitenga kimwari
Nazo fikira hukutekwa
Mambo mengi walishaongea
Eti wewe hunifai
Na majina wakakupatia
Eti kicheche mtaa
Kwani mimi ndo naye tambua
Kwangu beiby we ni nani
Maneno yao hayatatutishia
Kwangu beiby umefika
Wewe ni wangu, mahabu mahabu mahabuba
We ni wangu, mahabu mahabu mahabuba
We ni wangu, mahabu mahabu mahabuba
We ni wangu, mahabu mahabu mahabuba
Nakupenda sana
Mashallah umeumbwa tena ukaumbika
Sura yenye kung'ara umbo nayo wapendeza
Na mapenzi wayajua kupeti peti mama
Manukato yakilowa, wanukia mama
Kwa kweli nimepata
Mapenzi ya asali
Siishi kujilamba
Mwangu kingajani
Na wala kwako sitatoka, nitatulia wangu mama
Unimbembeleze, unidekeze
Na wala kwako sitatoka, nitatulia wangu mama
Unimbembeleze
Wewe ni wangu, mahabu mahabu mahabuba
We ni wangu, mahabu mahabu mahabuba
We ni wangu, mahabu mahabu mahabuba
We ni wangu, mahabu mahabu mahabuba
Nakupenda sana
Wacha waseme ni wewe
Moyo umechagua mwenyewe
Wacha waseme ni wewe
Hao wacha wawe legelege
Wacha waseme ni wewe
Moyo unachagua mwenyewe
Wacha waseme ni wewe
Hao wacha wawe legelege
Wewe ni wangu, mahabu mahabu mahabuba
We ni wangu, mahabu mahabu mahabuba
We ni wangu, mahabu mahabu mahabuba
We ni wangu, mahabu mahabu mahabuba
Nakupenda sana
Wewe ni wangu, mahabu mahabu mahabuba
We ni wangu, mahabu mahabu mahabuba
We ni wangu, mahabu mahabu mahabuba
We ni wangu, mahabu mahabu mahabuba
Nakupenda sana
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Mahabuba (Single)
Copyright : (c) 2020 Dream Nation.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE