Hallelujah Lyrics

"Baba ukiona mtu ako na hizi mnaita baraka
either ni mchawi, mwizi ama ni kahaba
uko tayari twende"
Padi yote yanawezekana
kuwa tu na imani, imani tu itatosha
wewe umerogwa..
Mungu wangu mi ni mwema
Hili neno ninasema
Nikisema ni nehema tu mimi ni wake
Mungu wangu mi ni mwema
Hili neno ninasema
Nikisema ni nehema tu mimi ni wake
Kanilinda na majanga mimi ni wake
Kwake Mungu mimi nimezama
Kwenye nguvu za mauti kanipa uhai baba
Kwake Mungu mimi nimezama
Hallelujah Hallelujah
Hallelujah naimba sifa za bwana
Hallelujah Hallelujah
Hallelujah naimba sifa za bwana
(Padi talking)
Hallelujah Hallelujah
Hallelujah naimba sifa za bwana
Hallelujah Hallelujah
Hallelujah naimba sifa za bwana
Kwa damu, Hallelujah
Mwanadamu, Hallelujah
Akapata zamu ya kukombolewa
Kwa damu, Hallelujah
Mwanadamu, Hallelujah
Akapata zamu ya kukombolewa
Ooh kwa damu yake nikapata uhuru
Kwa damu yake mwanakondoo
Nikawekwa upya na huru
Hallelujah, Hallelujah
Hallelujah, Hallelujah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Hallelujah (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE