Home Search Countries Albums

Hapa

IBRAAH

Hapa Lyrics


Kama hujaanza me nishaanza kwenda
Kama hunipendi me ninakupenda
Huwawawa

Ah
Baby baby
Sogea karibu nikunongoneze sweet
You look so fine
Ungekuwa nguo ningevaa nipendee, cute baby
Wewe ndio changu kidege
Umenikamata sifurukuti
Baby weweeee
Changu chako chako changu
Unanibana pete tamu yangu
Kwani hujui we ndio msiri wangu
Unanitembeza kwenye tope
Kwa nguu aibuu baby

Hata wakisema waambie
We ndio kiboko ya mimi
I swear unanikosha bibie
Mwenzako nimekula yamini
Me napenda ukisema
Nikushike hapa hapa
Hapa na hapa
Eti una enjoy tam tam
Nikushike hapa hapa
Hapa na hapa
Ah, baby
Nikushike hapa hapa
Hapa na hapa
Eti ni tam tam una enjoy
Nikushike hapa hapa
Hapa na hapa
Aaaahh hapa

Eh
Kiburi hakijengi baby
Na wala mapenzi hayaendeshwi kwa hasira
Nitaenda wapi baby
Kwako milembe unanipa tiba tahira
Sijui nikupendeje maana moyo
Unaona ushakupenda na ushamaliza
Wananita bwege
Marafiki wanadai nakupenda kupitiliza
Baby eti nakudekeza sana, nakudekeza sana
Baby hata ndugu na jamaa
Wanasema umenipa chaundani
Changu chako chako changu
Unanibana pete tamu yangu
Kwani hujui we ndio msiri wangu
Unanitembeza kwenye tope
Kwa nguu aibuu baby

Hata wakisema waambie
We ndio kiboko ya mimi
I swear unanikosha bibie
Mwenzako nimekula yamini
Me napenda ukisema
Nikushike hapa hapa
Hapa na hapa
Eti una enjoy tam tam
Nikushike hapa hapa
Hapa na hapa
Ah, baby
Nikushike hapa hapa
Hapa na hapa
Eti ni tam tam una enjoy
Nikushike hapa hapa
Hapa na hapa
Aaaahh hapa
Me napenda ukisema
Nikushike hapa hapa
Hapa na hapa
Eti una enjoy tam tam
Nikushike hapa hapa
Hapa na hapa
Ah, baby
Nikushike hapa hapa
Hapa na hapa
Eti ni tam tam una enjoy
Nikushike hapa hapa
Hapa na hapa
Aaaahh hapa

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Hapa (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

IBRAAH

Tanzania

IBRAAH real name Ibrahim Abdallah Nampunga (born 3rd July 1998) is an artist, singer, ...

YOU MAY ALSO LIKE