Home Search Countries Albums

Asante

MARIOO

Read en Translation

Asante Lyrics


Hivi mapenzi ni kitu gani hii
Mbona sawa hayana huruma mmmh
Aya mapenzi ya nani, ii
Uku mbele aa yamekuja kuwaje 
    
Chafla kila nnacho fanya 
Hakimpendezi eti namkera
Na akasema akinifumania 
Wala haimchomi

Nafwata kile anacho sema 
Sijiwezi naunga tela
Bila sababu ananinunia 
Wala simkomi

Ubaya nilipenda sana 
Ukweli nampenda sana
Na kama mapenzi nilipaga yote 
Naumia sana

Ubaya nilipenda sana 
Ukweli nampenda sana
Na kama izi hapa fadhila 
Aya asante

Asante
Asante
Asante

Mi nawawaza majirani 
Wanao jua nakupenda
Inamaana wakiniona 
Watajua siko sawa

Nitawakwaza kisirani
Wapotee nitapokwenda
Haya maumivu nani aje kunitua
Mwenzenu napagawa

Mmmh si sio mbaya 
Kujisave-ia unachosikia
Hiki kipindi mi nalia
Huko si wezangu wanafurahi

Aah si sio mbaya 
Ulikopenda dear
Aah hata kama nikilia
Sawa wezangu kufurahi

Ubaya nilipenda sana 
Ukweli nampenda sana
Na kama mapenzi nilipaga yote 
Naumia sana

Ubaya nilipenda sana 
Ukweli nampenda sana
Na kama izi hapa fadhila 
Aya asante

Asante
Asante
Asante

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Asante (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

MARIOO

Tanzania

Marioo is a Tanzanian singer/songwriter  based in Dar Es Salam. His first single (Dar Kugumu), ...

YOU MAY ALSO LIKE