Home Search Countries Albums

Warm Up Remix

MANENGO Feat. NACHA, STAMINA, MONI CENTROZONE

Warm Up Remix Lyrics


Kila wakiskia Nacha
Haja inakuja wanachachawa
Nitawaletea ukupe bwa mdogo mkileta uchawa
Nacha kama sensa tu kata hadi tarafa
Rappers wenu mnaowataja mwisho Dar wafiki msata

Na niko na warm up tu
Ila washa loa tepetepe
Collabo ina vibonde
Na wachachafya ka tegete
Yaani chance double double

Muhindi ana mawazo 
Mwanamuuwa fenabachie nampa FC Basel
NACHA rapper nayekwenda peke yangu
Ila cha ajabu sipotei
Namuua mamba kisha mto navuka
Nimemfunika kila mtu 
Cha ajabu hawaniiti shuka

Usishtuke kuona nipo kwenye track na Manengo
Moto ni ule ule nipo kas kwenye mwendo
Nikiacha hii game jua itabaki na mapengo
Na siongei mi kinachonipa chart ni vitendo

Usinivagae I can end your career
Coz am happy utadhani nature yule wa enzi ya Sonia
Nigga nawapa watu kitu wanachopenda kusikia
Na sifa sizitaki huwaga najichenga naishia

Ma brother wanamind wakifichwa na dogo
Nawapeleka toi kuwakatisha magogo
Wanafyata utadhani mbwa wakitishwa na mbogo
Nami sipoi nazidisha mausongo

Nami ndo kwanza nina warm up, warm up
Ndo kwanza mi na warm up, warm up
Nami ndo kwanza nina warm up, warm up
Ndo kwanza mi na warm up, warm up

Ni maswag swags mkalale mkalale
Maswag swags mkalale mkalale
Ni maswag swags mkalale mkalale
Maswag swags mkalale mkalale

Yes AWP jitu linalo warm uo na JWTZ
Sio jafarahi ila niko busy
Wala sio bado ila usiulize
Yes nina warm up atae pumuliwa aseme

Wanaodai wako moto wamewashwa simseme
Game yao ya picha labda wakamtishie Uchebe
Natafuta label inayotoa michongo sio mkebe
Nipo kwenye diet ila naangalia menu
Nafahamu inawauma sana nayo waadhibia kwenu
Na round hii kipa wangu akishika penati sina wasi
Namiliki mwenyekiti wa kamati

[Stamina]
Huwa nawala marapper bila hata kudigest
Alafu nachokonoa meno kwa stick ya selfie
Sirudi nyuma daima mbele milele
Yaani napika walimwengu mboga ni dagaa mchele

Na hii ni warm up tu sitaki mechi na vibonde
Dimba la kati la kwangu mkokotonombe
Mi Ronaldo, mi ni Messi, mi ni Shav, mi Iniesta
Balaa kama jide ndani ya basi la Fiesta

Nikichana ujue ni presha ya kupanda na kushuka
Wenye BP wamekuja Shell kuweka mafuta
Booth kwangu jiko mistari ni presha cooker
Nikipika vinaiva niite Hiphop chief cooker

Nami ndo kwanza nina warm up, warm up
Ndo kwanza mi na warm up, warm up
Nami ndo kwanza nina warm up, warm up
Ndo kwanza mi na warm up, warm up

Ni maswag swags mkalale mkalale
Maswag swags mkalale mkalale
Ni maswag swags mkalale mkalale
Maswag swags mkalale mkalale

Okay mi ni papaa Mobimba elsadati kama Nyoshi
Huwa napitaga Arusha nikienda na gari moshi
Pikeni majungu mpaji ni Mungu
Msije kichwa kichwa Nengo nteze John Rungu

Na nikiamua kufanya huwa nafanya mpaka basi
Kiasi wanasheherekea pasaka krismasi
Vile Nengo nimevunja bei wananiita Husseini pamba kali
Nipeeni kiberiti niwashe kiba na kibatari

Na ndio maana huwa sipendi kulinganishwa na watoto
Mshamba toka Mwanza nakuja na koti kwenye joto
Sa mniombe battle mi niwaache bila meno
Niwafanye alichofanywa Lord Eyes kwenye neno

Wanatrendisha kwa wifi ya kitonga mazing zong
Nipo toka enzi wasanii naonewa na King Kong
The blacker the berry mitonyo kwa pin code
Kama Richard Monduli na mradi wa Richmond

Nimewapa stress ni maelekezo chapter
Idodomia home of the greateast rapper
Kidume nazi flow za nakshi nakshi
Hata wakinidiss kesho watachange caption

Naona matozi jumapili wako wanadenga kidimbwi
Ndo ya barafu Henessy moja coca nyingi
Unahisi wana wamekutupa na ulishare nao madance
Hawajakutenga wanasubiri upate pesa

Nami ndo kwanza nina warm up, warm up
Ndo kwanza mi na warm up, warm up
Nami ndo kwanza nina warm up, warm up
Ndo kwanza mi na warm up, warm up

Ni maswag swags mkalale mkalale
Maswag swags mkalale mkalale
Ni maswag swags mkalale mkalale
Maswag swags mkalale mkalale

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Warm Up Remix (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MANENGO

Tanzania

Manengo is a bongo flavour artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE