Home Search Countries Albums

Mgenge wa Matumbler

MADINI CLASSIC

Mgenge wa Matumbler Lyrics

Unakaa fire, genge linadai kuziwasha oh nana yeah
Nina kakitu leo, mashida leo nimeziretire oh nah nah

Ati mgenge wa matumbler
Nimemuacha ghetto leo wanangu sa tuko mbege
Mtoto wa mama mtoto wa Diana
Naskia kana moshi pia, kaite tukaleweshe

Pakua, fanya kama ushapiga shoti, pakua
Kama ushalewa mkomboti, mama ugali pakua
Hii ni ya wajanja wajanja, songa
Waambie watoto waone video

Pakua, fanya kama ushapiga shoti, dengua
Kama ushalewa mkomboti, shemeji leo dengua
Hii ni ya wajanja wajanja, dengua
Waambie watoto waone video

Wanangu songea, songea
Leo ni kusondeka, sondeka

Nasema baby bangi, umesikiaje baby bangi tu
Nilisemanga bring bangi boo
Nasema baby bangi, umesikiaje baby bangi tu
Nilisemanga bring bangi boo

Ati mgenge wa matumbler
Nimemuacha ghetto leo wanangu sa tuko mbege
Mtoto wa mama mtoto wa Diana
Naskia kana moshi pia, kaite tukaleweshe

Pakua, fanya kama ushapiga shoti, pakua
Kama ushalewa mkomboti, mama ugali pakua
Hii ni ya wajanja wajanja, songa
Waambie watoto waone video, pakua 

Pakua, fanya kama ushapiga shoti, dengua
Kama ushalewa mkomboti, shemeji leo dengua
Hii ni ya wajanja wajanja, dengua
Waambie watoto waone video, mpaka kuche

Nasema shiga, shiga shiga, zigo la teddy bear
Shiga, shiga shiga, zigo la teddy bear
Mogoro kako na magoti, katupa mkongojo
Wanataka tukuze kwenda
Juzi nikafeel muziki, kalewa mkomboti
Anataka tukuze kwenda, kwa raba

Ati mgenge wa matumbler
Nimemuacha ghetto leo wanangu sa tupo mbege
Mtoto wa mama mtoto wa Diana
Naskia kana moshi pia, kaite tukaleweshe

Pakua, fanya kama umepiga shoti, pakua
Kama ushalewa mkomboti, mama ugali pakua
Hii ni ya wajanja wajanja, songa
Waambie watoto waone video, dengua

Pakua, fanya kama ushapiga shoti, dengua
Kama ushalewa mkomboti, shemeji leo dengua
Hii ni ya wajanja wajanja, dengua
Waambie watoto waone video, mpaka kuche

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2021

Album : Mgenge wa Matumbler (Single)

Copyright : (c) 2021

Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MADINI CLASSIC

Kenya

Madini Classic is an artist/singer/Songwriter from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE