Home Search Countries Albums

Dream In Love

M NEX NEX I Feat. IBRAH RAPPER, TZEE

Dream In Love Lyrics


M Nex ooh ooh ouwaah yeeeah mmmh oooh nono nonoo yeeeii
Nimewahi kumcheki nikamtumia text, akanijibu
Yuko busy , ila ndo ivo hataki nikiomba tu -meet kila siku Yuko busy
Sio Siri pisi naizimia, nikimpigia ananikatia tu
Jina lake siwezi kukutajia utaniibia ,utanizingua eeh

(Abnormal city)
Aanh, Japo
Yuko busy na hajantext yani best yani fresh
Niko nae mwaka sasa na hajancheki ila
Natamani siku Moja tu nimpange
nimpate awe wangu na hata kama na anidange, tena
Ni mwembamba na ana ufupi wa chini
Lake shape na anatamba sio ni uzushi amin
Nai nai ,now Mobetto Yuko fresh na mimi
Nikimpata na nikitoka Niko fresh madini
Sasa kama tu ni pesa nikipata na nitamshik
Mana Mapenzi na yalinitesa nikamfata na akanificha
Ninachopenda ni mapicha anavyo-post daily
Viji-snap akikatika naona posts kweli
Hisia zinauma basi kwake nimefika
Ananipika nampakua ,lake penzi nalidhika sina viatu ntapekua
Mtoto noma akitingisha haya Mapenzi anayajua
Noma noma kwa mapicha nipate bingo ntambandu
Tena nahisi yuko single na ana boss
kuhusu mtoto tu kumpata na sio simple haitoshi

Isiwe ndoto me kuwa nae, nikomae, atanielewa tu
Acha ntamcheki baadae ntampigia atanielewa tu
Natamani aniite darle (darling) twende mbali niwe nae milele
Akifika si tupare tupare (tu-party), akichoka tulale

Me natamani kukapata siku nyingi dear
Pretty light kanang'ara na night pia
Rangi shape hiyo colour nikuvutia
Kapo fit kama tower kametimia
Bado niko busy mwenzenu nafukuzia
Link hiyo lishe kwa nyuma kamejazia
Modo (model) akitupa guu lake nyuma la bia (beer)
Mpenzi matata zee langu sijawahi jionea
Mana jicho ni gololi,linanesa lina roll
Picha yake ni story Instagram ina round
Ma boss ,ma pochi , matozi ,wadosi wanaume natochi wanamulikia
Mana bado hiyo link na find money ni me
Logo chapa hiyo link hamsini moja ni mia
Hapa hati ni trick kumpata manzi ni nia
Nampenda mwenzenu wallahi nimemzimia

Isiwe ndoto me kuwa nae, nikomae, atanielewa tu
Acha ntamcheki baadae ntampigia atanielewa tu
Natamani aniite darle (darling) twende mbali niwe nae milele
Akifika si tupare tupare (tu-party), akichoka tulale
Tulale eeeh akichoka tulalee eeeh ooh noo nonoo
Aki ii eeeiee Akichoka tulalee

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Dream In Love (Single)


Added By : M Nex Nex I

SEE ALSO

AUTHOR

M NEX NEX I

Tanzania

Nehemiah Shukuru Senyagwa, better known as M Nex Nex I, is a Singer, Rapper, Songwriter, TV & Ra ...

YOU MAY ALSO LIKE