Magufuli Lyrics
Umuhimu wako naujua
Japo umri wangu bado haujafikia
Wewe Baba Magufuli
Mwenyezi Mungu naye ndio katupatia
Sitochoka kusifia
Sababu kuna mengi sisi umetufanyia
So kwake Mungu nakwapia
Ningekuwa mkubwa ningekupa kura
Leo tunasoma
Hakuna ada shule mimi nawaongozea
Twakupenda sana
Mpaka na walimu shule umetuongezea
Leo tunasoma
Hakuna ada shule mimi nawaongozea
Twakupenda sana
Mpaka na walimu shule umetuongezea
Babu, Babu Magufuli
Cheki mti ulivyojenga
Babu, Babu Magufuli
Tanzania ya viwanda
Hoyee, hoyee...(Magufuli ulivyojenga)
Hoyee, hoyee...(Magufuli ulivyojenga)
Mama Samia unafanya napata raha
Baba Majaliwa utafanya niwe kichaa
Mama Samia unafanya napata raha
Baba Majaliwa utafanya niwe kichaa
Barabara hadharani mmejenga
Hospitali kibao na viwanda
Misaada kote mmetoa
Kwa kina mama wazee na yatima
Barabara hadharani mmejenga
Hospitali kibao na viwanda
Misaada kote mmetoa
Kwa kina mama wazee na yatima
Leo tunasoma
Hakuna ada shule mimi nawaongozea
Twakupenda sana
Mpaka na walimu shule umetuongezea
Leo tunasoma
Hakuna ada shule mimi nawaongozea
Twakupenda sana
Mpaka na walimu shule umetuongezea
Babu, Babu Magufuli
Cheki mti ulivyojenga
Babu, Babu Magufuli
Tanzania ya viwanda
Hoyee, hoyee...(Magufuli ulivyojenga)
Hoyee, hoyee...(Magufuli ulivyojenga)
Babu, Babu Magufuli
Cheki mti ulivyojenga
Babu, Babu Magufuli
Tanzania ya viwanda
Hoyee, hoyee...(Magufuli ulivyojenga)
Hoyee, hoyee...(Magufuli ulivyojenga)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Magufuli (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE