Sema Nami Lyrics
Sema nami sema nami sema na mimi
sema na Moyo wangu
Sema nami sema nami
sema nami sema na Moyo wangu
Ulikuwepo toka mwanzo
Ulitangaza nchi juu ya maji
We wajua nisioyajua
Baba sema na moyo wangu
We wajua kuishi kwangu
Waelewa njia zangu
Nitendalo kwa siri wajua
Naomba nena na moyo wangu
Sema nami sema nami
sema nami sema na Moyo wangu
Sema nami sema nami
sema nami sema na Moyo wangu
Chunguza nafsi yangu Bwana
Weka wazi makosa yangu
Ninataka kutubu Bwana natamani kukaa nawewe
Usinifiche uso wako sina mwingine wa kukimbilia
Mungu sema na mimi sema na moyo wangu
Sema nami sema nami
sema nami sema na Moyo wangu
Sema nami sema nami
sema nami sema na Moyo wangu
Halleluya aah Weee sema na moyo wangu Bwana
Moyo wangu wakutamani natamani roho wako
Natamani mguzo wako naomba nena na moyo wangu
Nibadilishe nikufanane Mungu ninaomba
Usinipite Bwana Yesu sema na moyo wangu
Sema nami sema nami
sema nami sema na Moyo wangu
Sema nami sema nami
Sema nami sema na Moyo wangu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Sema Nami (Single)
Copyright : ©2018
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE