Mmhhh Lyrics
Aki Brayo
Hapendagi kubonga mmmh mmhhh mmhhh
Tingisha na doba mmhhh mmhhh mmhhh
Teremuka mmhhh mmhhh mmhhh
Jegi zikisonga mmhhh mmhhh mmhhh
Hapendagi kubonga anapenda kuzitoka
Ana haga biggy na anapenda zikisonga
Ananiitanga afande akikuja kunihonga
Akishika rungu niko ready kumgonga
Mmhhh mmhhh akitaka kurombosa
Mmhhh mmhhh hadi kwa rodi akidondosa
Alisema nikishika chapa ka haina makosa
Manduru akisurrender hadi mikono huwaga nyoosha
Ati baby si leo twende dunda
Na mwenye ako na shida ajibebee ka punda
Luku ni safi tukwende na upepo ya Runda
Kata makali hapa hatuchezani madunda ah
Wote wote nawateka kwa Shedi
Tukimochoa masongi tukivuta mahedi
Zile koro nono nono zimetoka pedi
Zikishika tuzitoke tuliwacha kumedi aii
Hapendagi kubonga mmmh mmhhh mmhhh
Tingisha na doba mmhhh mmhhh mmhhh
Teremuka mmhhh mmhhh mmhhh
Jegi zikisonga mmhhh mmhhh mmhhh
Kukachapa nakachapa na stingo
Piga shoti ka ni deng'a ya madingo
Amezibeba unaeza dhani ni mzigo
Na kumbe ni katoto kayengs ka Migingo
Akirombosa zinabounce nikikumba
Tupate solo tukikumbana kwa nyumba
Zinatetema mpaka tukicheza rhumba
Zinanichizisha ni kama zina dunmba
Ju baby mi napenda zikiruka
Hizi vitu fiti hatuzipatagi kwa duka
Narusha mistari ju napenda kukusuka
Unafanya nikue horny mpaka ukifunga hio shuka
Alisema mi mfunny nafanya nararuka
Usiku ni manduru ju ya venye nakanyuka
Hata apate ball hio ni yangu siwezi ruka
Mmmh mmhhh
Hapendagi kubonga mmmh mmhhh mmhhh
Tingisha na doba mmhhh mmhhh mmhhh
Teremuka mmhhh mmhhh mmhhh
Jegi zikisonga mmhhh mmhhh mmhhh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Mmhhh (Single)
Copyright : (c) 2021 Mastar
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MASTAR VK
Kenya
Mastar Vk also known as 'Afande' is one of the hottest rapper in Kenya hailing from Kay ...
YOU MAY ALSO LIKE