Moto Lyrics

Eeh love bite
Eeh huyo ndo pablo sasa
Wameuchochea moto
Wameuchochea moto
Wameuchochea moto
Wameuchochea
Wameuchochea moto
Wameuchochea moto
Wameuchochea moto
Wameuchochea
Leo moto umewaka
Nimepoa na maboss zangu (utantakaa)
Leo moto umewaka
Nipo najilia vitu vyangu (utantakaa)
Leo moto umewaka
Mtanisamehe majirani zangu (utantakaa)
Leo moto umewaka
Dj anagonga vitu vyangu (utantakaa)
Wameuchochea moto
Wameuchochea moto
Wameuchochea moto
Wameuchochea
Wameuchochea moto
Wameuchochea moto
Wameuchochea moto
Wameuchochea
Pabloo
Pabloo
Eenhee
Hiyo ndo yenyewe sasa
Eenhee
Hiyo ndo yenyewe sasa
Aaaaa
Acheni fujo acheni fujo
Ladies you wanna have some fun
Yeah we wanna have some fun
Ladies you wanna have some fun
Yeah we wanna have some fun
Ladies you wanna have some fun
Yeah we wanna have some fun
Ladies you wanna have some fun
Yeah we wanna have some fun
Wameuchochea moto
Wameuchochea moto
Wameuchochea moto
Wameuchochea
Wameuchochea moto
Wameuchochea moto
Wameuchochea moto
Wameuchochea
Mziki ukizima, tunaondoka na bili, na hatulipi
(mziki ukizima, tunaondoka na bili, na hatulipi)
Huo mziki ukizima, tunaondoka na bili, na hatulipi
(mziki ukizima, tunaondoka na bili, na hatulipi)
Eenh tunaondoka na bili (na hatulipi)
Jamani bili (na hatulipi)
Tunaondoka na bili (na hatulipi)
Jama bili (na hatulipi)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
LAVA LAVA
Tanzania
Lava Lava is a Tanzanian musician signed under Wasafi WCB Record label. ...
YOU MAY ALSO LIKE