Nateleza Lyrics

Do you know how beautiful You are
Own your crown in all its majesty
Juu we ni king umeshinda
Usijali tutaringa
Kuja nami ntakulinda
Juu we ni king umeshinda
Usijali tutaringa
Kuja nami ntakulinda
Wanifanya nateleza ooh
Juu ni kweli nakuhenza ooh
Wanifanya nateleza ooh
Juu ni kweli nakuhenza ooh
Baby truly youre my hero
They will all just keep talking
From afar they keep on watching our love
Our love our love love love
Umenifanya nisi worry
Najihisi salama maishani
I'm gonna live in all your glory
Never let you go
Juu we ni king umeshinda
Usijali tutaringa
Kuja nami ntakulinda
Juu we ni king umeshinda
Usijali tutaringa
Kuja nami ntakulinda
Wanifanya nateleza ooh
Juu ni kweli nakuhenza ooh
Wanifanya nateleza ooh
Juu ni kweli nakuhenza ooh
Do you know how beautiful you are
Own your crown in all its majesty
Wanifanya nateleza ooh
Juu ni kweli nakuhenza ooh
Wanifanya nateleza ooh
Juu ni kweli nakuhenza ooh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Rhythm of Love (EP)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
LAROTA
Kenya
Larota real name Laurriette Rota also known as Larota Africa is an artist from Kenya. ...
YOU MAY ALSO LIKE