Home Search Countries Albums
Read en Translation

Kolo Lyrics


(Vicky pon Dis)
Mwana wa sheri toto la mamaye
(Nadia...)

Eti dera bila tako ni kanzu
Bora ata upinde mgongo
Hizo style zimeganda gundi
Bora upeperushe mikono

Mauno ya kitanga na mvita
Hayana mwendo yanalegea
Sina budi kuazima dera
Niwakomeshe wasikie vibaya

Kolo Kolola Kolo
Kooolo Kolola Kolo (Oooh)
Embe dodo jamani yangu Embe dodo
Embe dodo tazama yangu Embe dodo

Kolo Kolola Kolo
Kooolo Kolola Kolo (Oooh)
Embe dodo jamani yangu Embe dodo
Embe dodo tazama yangu Embe dodo

Cheza cheza mama weh cheza 
Cheza cheza mama weh cheza

[Otile Brown]
Mmmh nasema mtoto wewe ni mnaughty
Hupendi kabeji mtoto unapenda karoti
Ulivyo wa Moto umenipiga shoti
Twende tukacheze bango
Mama it takes two to tango
Niko mwenyewe nami niko jamo

Kula moja moja ndo utamu wa karanga....
Kwa mauno yake ya kanga, mapenzi ya Tanga
Ngozi nyororo mtoto wa kidosi
Piga picha Insta nikuposti
Simiti imekauka roboti
Basi punguza kimombo nijieleze kiwazi

Ninavyocheza kayamba (Aii wewe)
Kiunoni ana shanga (Aiii wewe) 
Anajua kama danga (Aii wewe) 
Kaniroga kwa mganga (Aii wewe)

Embe dodo, jamani langu embe dodo 
Embe dodo, jamani langu embe dodo 

Kolo Kolola Kolo 
Koolo Kolola Kolo 
Embe dodo jamani yangu embe dodo
Embe dodo tazama yangu Embe dodo 

Kolo kolola Kolo 
Kooolo Kolola kolo... 

Cheza mama weh cheza
Cheza cheza mama wewe cheza 

Ninavyocheza kayamba (Aii wewe)
Kiunoni nina shanga (Aii wewe)
Ninajua kama danga (Aii wewe)
Kaniroga kwa mganga (Aii wewe)

Ninavyocheza kayamba (Aii wewe)
Kiunoni nina shanga (Aii wewe)
Ninajua kama danga (Aii wewe)
Kaniroga kwa mganga (Aii wewe)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Kolo (Single)


Copyright : (c) 2021 Sevens Creative Hub.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

NADIA MUKAMI

Kenya

Nadia Mukami Mwendo is a Kenyan vocalist, singer, songwriter, singer & performer. Born in Pumwan ...

YOU MAY ALSO LIKE