Niko On Lyrics
So blessed, never stress
Na finesse hizi shida
Kila zikiniona zinapita
Niko pilka pilka
Mahali nahitajika sijafika
Stop asking me mbona nimeficha
Na kama umelala basi, boy I ain't with ya
Sideal na watu wakuchoma picha
Nadai kuivisha, kujijenga
Furthermore, ninadai kuget madoo
Ku-have madame, ku-further more
Niko on, niko on, niko on
Toa form (Toa form)
Niko on, niko on, niko on
Toa form
Ka ni form iwe ya nguvu
Dash ka ni form ya udu-du
Pole hainihusu pu
Waste my time ni vurugu
Nakam tu ki one man na bado sijishuku
Cheki jo msupu, kuna venye umeiva
But bae, umekosa tu vitunguu
Na ukieza ziget, dish itakuwa set
Na unajua babe venye si hu do, do
Niko on, niko on, niko on
Toa form (Toa form)
Niko on, niko on, niko on
Toa form
True ka mali iko juu
Fika bei nduguu
Ka ngumu, basi ora, bye, shoo
Kazi kwako, utado?
You had one job
But never came through
That's why I'm on a mission now
You know Chris Kaiga pull the crowd
Nikikam mi nadai-dai mathao
Niko on and you know what I'm about
(What's that?)
Niko on, niko on, niko on
Toa form (Toa form)
Niko on, niko on, niko on
Toa form (Toa form)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Niko On (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
CHRIS KAIGA
Kenya
Chris Kaiga is an artist from Kenya. He is best known for his unique flow in music and catchy phrase ...
YOU MAY ALSO LIKE