Home Search Countries Albums

Bwana Unatawala

ESSENCE OF WORSHIP

Bwana Unatawala Lyrics


Uaminifu wako
Wadumu vizazi vyote
Fadhili zako Bwana
Zadumu milele yote

Uaminifu wako
Wadumu vizazi vyote
Fadhili zako Bwana
Zadumu milele yote

Kusudi lako, halibadiliki
Kusudi lako, halibadiliki

Uaminifu wako
Wadumu vizazi vyote
Fadhili zako Bwana
Zadumu milele yote

Uaminifu wako
Wadumu vizazi vyote
Fadhili zako Bwana
Zadumu milele yote

Kusudi lako, halibadiliki
Kusudi lako, halibadiliki

Bwana unatawala milele
Bwana unatawala milele
Bwana unatawala milele
Bwana unatawala milele

Unatawala, unatawala
Unatawala, milele yote unatawala
Unatawala, unatawala
Unatawala, milele yote unatawala

Unatawala, unatawala
Unatawala, unatawala milele
Unatawala, unatawala
Unatawala, unatawala milele

Umejivika heshima zote
Unatawala milele
Mbingu zatukuza, ukuu wako unatawala Bwana
Unatawala milele

Unatawala, unatawala
Unatawala, unatawala milele
Unatawala, unatawala
Unatawala, unatawala milele

Unatawala, unatawala
Unatawala, unatawala milele
Unatawala, unatawala
Unatawala, unatawala milele

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Bwana Unatawala


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

ESSENCE OF WORSHIP

Tanzania

Essence Of Worship is a gospel ministy in Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE