Home Search Countries Albums

Roho

KILLY

Roho Lyrics


Asubuh kumepambazuka wa ubavu sikuoni iih
Nshazoea tunaamka wawili majirani ntawatazamaje usoni
Naanza kusali naomba kwa rabuka hiki kipengele siponi
Mi si nitabaki kiwiliwili ina maana nliyofanya yote huyaoni
Kipi nimetenda kibaya au kukupenda nlifanya vibaya dah
Eti na nguo sizioni umefungasha virago vyote umefunga funga
Umeniacha kwa ubaya ila sina budi kukubali haya aah..!!
Yani niwe wa vichochoroni  (etii)
Anaepita mbele sindano niwe dunga dunga
Ivi kweli darling unanipa maumivu mpaka aah
Ooh darling mwili utakonda nitachakaa
Ghafla nakumbuka mbali iiiih umekosa uvumilivu hata
Au penzi lako ghali pengine sina chambi
Ndo umenikataa mwenzako roho

Roho bado inaniumaa aah..!!
(Iweje mzigo mzito unitwishee eee eeeh)
Roho bado inaniumaa aah..!!
(Roho inauma uma mama)
Roho bado inaniumaa aah..!!
(Sili silali nimebaki mwenyewee eeh)
Roho bado inaniumaa aah..!!
(iiiiiiiiih iiiiiiiiih iiiiiiiiiih)

Umeshazima koroboi ona kwa page
Za udaku wameweka nukta nukta
Sina uzima sitoboi hunitaki katu na mchanga umeputa puta
Umeweka dhima niko hoi hutaki nithubutu umeweka tuta tuta
Yamezizima sichomoi kisu changu butu nyama inajivuta vuta
Umeondoka bila kusema sababu iliyokufanya uende
Ungeandika hata barua ningeisoma nitake ama nisipende
Hata kama umenichoka ya nyuma ungevuta taswira
(Taswira aaah)
Wakati mbali tumetoka imekuaje umeweza kuzira  aaah
(Kuzira aaah)
Ivi kweli darling unanipa maumivu mpaka aah..!!
Ooh darling mwili utakonda nitachakaa
Ghafla nakumbuka mbali iiiih umekosa uvumilivu hata
Au penzi lako ghali pengine sina chambi
Ndo umenikataa mwenzako roho

Roho bado inaniumaa aah..!!
(Iweje mzigo mzito unitwishee eee eeeh)
 Roho bado inaniumaa aah..!!
(Roho inauma uma mama)
Roho bado inaniumaa aah..!!
(Sili silali nimebaki mwenyewee eeh)
Roho bado inaniumaa aah..!!
(iiiiiiiiih iiiiiiiiih iiiiiiiiiih)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Roho (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

KILLY

Tanzania

Killy is an artist from Tanzania signed under Konde Music Worldwide by Harmonize. He was formerly si ...

YOU MAY ALSO LIKE