Home Search Countries Albums

Carolina

CHOMBO

Carolina Lyrics


Carolina, mama Carolina, Carolina

Penzi la washa ka pipipili
Ndio maana nacheka ka ngiri ngiri
Najivunia tuko wawili

Waambie wenzako wasihi tuko wawili
Na bia hazishuki zaidi ya mbili
Wasije kucheza makiri kiri
Pesa natafuta kwa mikono miwili

Leo kibosi we kibosi
Upepo ukikata nipepee kwa koti
We ndo kalori mama wa kuwarun
Wakizingua unawaroll roll

Leo kibosi we kibosi
Upepo ukikata nipepee kwa koti
We ndo kalori mama wa kuwarun
Wakizingua unawaroll roll

Leo kibosi we kibosi
Upepo ukikata nipepee kwa koti
We ndo ka lori mama wa kuwarun
Wakizingua unawaroll

Mama Carolina, Carolina
Mama Carolina, wakizingua unawaroll roll
Mama Carolina, mama Carolina
Carolina, wakizingua unawaroll roll

We ndo shamba la mpunga punga
Jirani mi nakuchunga chunga
Nikipata njaa mi nakuchuma chuma
Eeeh my Carol

Oooh linda linda linda 
Moyo wako beiby
Ukijakufa nitaonekana mi 
Mwanzo wa kifo chako beiby

Wadanga danga wadange dange
Watoke jasho wakajipange 
We carol wa moyo wangu
Napata pata raha 

Leo kibosi we kibosi
Upepo ukikata nipepee kwa koti
We ndo kalori mama wa kuwarun
Wakizingua unawaroll roll

Leo kibosi we kibosi
Upepo ukikata nipepee kwa koti
We ndo kalori mama wa kuwarun
Wakizingua unawaroll roll

Leo kibosi we kibosi
Upepo ukikata nipepee kwa koti
We ndo ka lori mama wa kuwarun
Wakizingua unawaroll

Mama Carolina, Carolina
Mama Carolina, wakizingua unawaroll roll
Mama Carolina, mama Carolina
Carolina, wakizingua unawaroll roll

Njoo ujiset hapa jiseti
Njoo ujiset hapa jiseti

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Carolina (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

CHOMBO

Tanzania

Chombo is an artist/Fashion designer from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE