Corona Lyrics
Virusi hivi vya corona vimetufanyia
Binadamu kote ulimwenguni
Halafu maambukizo zinaenda kwa Kasi
Virusi hivi vimeleta taaruki kwote ulimwenguni shughuli zote zimekwama
Sababu la gonjwa hili hatari
Tajiri kwa masikinj Corona ugonjwa hili
Halitambui tushikamane tupambane na adui
Wowo nasema jangili hatari tuzingatie maagizo ya serikali
Mamlaka ya afya wanafanya kila juhudi ili Mimi na wewe tuwe Salama janga hili limeporomosha Uchumi ooooh mataifa yote yametangaza Hali hatari
Tuko vitani na adui tusiyemuona na macho
Anaitwa Nani Corona Virusi inauwa
Corona Virusi haina dawa
Corona inauwa Corona Virusi haina dawa
Ukistaajabu ya Musa nakuambia bado utaona ya virauni
Viwanja vya ndege ,makanisa ,Mipaka ya nchi
Vyote vimefungwa
Mikusanyiko ya umma imepigwa marufuku ili kutulinda
Jamani hili janga limeangamiza dunia
Tufuateni maagizo tunayopewa
Nisikize ugonjwa hili hatari
Tuzingatie maagizo ya serikali
Tuko vitani na adui tusiyemuona na macho
Corona Virusi inauwa ,Corona Virusi inauwa
Corona Virusi haina dawa
Corona Virusi haina dawa ,Corona Virusi inauwa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Corona
Copyright : ©2020
Added By : Its marleen
SEE ALSO
AUTHOR
KIDUM
Burundi
Kidum, whose real names are Jean-Pierre Nimbona, is an award winnning recording and performing artis ...
YOU MAY ALSO LIKE