Home Search Countries Albums

Kadogo

KEN DEMACRA

Kadogo Lyrics


[INTRO]
[VERSE 1]
Dollar boy Oyeeeh
Aaa Kenny mwaga kidogo eeee (eee kidogo)
Kanipandisha Mori eeee (kanipandisha Mori)
Yule manze kadogo eeee (eeee kadogo)
Wamembeba na lorry eee (eeee na lorry)

Ndo maana muiiita sugar mummy
Eeeeeh nataka lala
Nataka pombe
Aaa twende polepole manamba
Hapa Kuna mtaro
Ebu tuege maji tuege maji
Ka Nicki minaji Nicki minaji
Kelele mkitaka tuarusha mbali (tuarusha mbali)
Mawazo yakinoga tuarusha chui (tuarusha chui)
Oyeeeeh

Wanikimbiza Dar selam eti niende Nairobi
Wakanipanguzia rodi nisichome na miba
Eeeeeh tuonyeshe birika

Kasema mchanga cementi (kufia)
Kaniita kamiti (kufia)
Akaniletea kitu (kufia)
Sikuamini Ni miti eeeeeh

[VERSE 2]
Aliteta mfupa kaleta mafutaa (mafuta)
Kanipa Michele kaondoa mkate (mkate)
Eeeeeh
Ninawatoa aaaaah
Tunafunga ndoa aaaa
Ninawatoa aaaa
Tunakesha aaaaa
Me nataka nenda (nataka nenda)
Me nataka panda (nataka panda)
Me sitaki rinda (sitaki rinda)
Usiku day si tuadai chai (tuadai chai)
Kila mchana eee tuadai gari (tuadai gari)

Aaaa kenny mwaga kidogo (eeee kidogo)
Kanipandisha Mori eeee (kanipandisha Mori)
Yule manze kadogo eeee (eeee kidogo)
Wamembeba na lorry eee (eeee na lorry)

Usiku shida Ni segele
Kuja unilegeze
Mambo yote yawembele
Tuaonyeshe Ni pale

Wale watu wapewe Nini wajasoea Wanachota saaa
Karudisha heshima kamitini ujaja yao tunararuaaaaa
Nilitamani tuwe na Uhuru Ila chenga za Dunia nimeona
Tharau
Uhuru tutawale Ila tukumbuke za Jana
Mimi nilale vizuri nikingoja godoro

[CHORUS]
Aaaa kenny mwaga kidogo (eeee kidogo)
Kanipandisha Mori eeee (kanipandisha Mori)
Yule manze kadogo eeee (eeee kidogo)
Wamembeba na lorry eee (eeee na lorry)
Dollar boy.....

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Kadogo (Single)


Added By : Ken Demacra

SEE ALSO

AUTHOR

KEN DEMACRA

Kenya

...

YOU MAY ALSO LIKE